Category: Habari Mpya
Wakulima Kanda ya Ziwa wana uelewa hafifu wa matumizi sahihi ya mbolea
Na Mwandishi Wetu ,JamuhuriMedia, Mwanza Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imesema wananchi wa Kanda ya Ziwa wanakabiliwa na changamoto ya uelewa mdogo wa matumizi sahihi ya mbolea katika shughuli zao za kilimo. Sababu nyingine kutokuzingatia suala…
RPC Lutumo akemea vitendo vinavyoashiria rushwa kwa askari Polisi Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Pwani, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Pius Lutumo amekemea vitendo vyenye viashiria vya rushwa kwa askari polisi ,na kusisitiza hatowafumbia macho askari watakaobainika kujihusisha na kuomba ama kupokea…
Tanzania ya nne kwa kuwa kutokuwa na vifuko salama Afrika
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imetajwa kuongoza miongoni mwa nchi nne zisizo na usalama wa viivuko Barani Afrika, kwa mujibu wa tafiti za kidunia imefahamika. Hayo yamebainishwa kwenye mkutano wa Kimataifa wa Wadau wa Usalama wa Vivuko…
TAWA yatoa misaada ya vyakula na boti Rufiji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania (TAWA), imetoa misaada mbalimbali ikiwemo unga tani 6.4, maharage kilo 666, magodoro 186 vyenye thamani ya 20mil kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wilayani Rufiji. Aidha imetoa imetoa…
Sekta ya mifugo,uvuvi yajinasibu kuimarisha miundombinu yake
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 51.66 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu mbalimbali katika Sekta ya Mifugo kwa ujenzi wa miundombinu ya minada ya mifugo ya kisasa 51 shilingi bilioni 17.5 , ujenzi wa Majosho 746 kwa…
Majaliwa akagua athari za mafuriko Mlimba Morogoro
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Pia Mheshimiwa…