Category: Habari Mpya
Mathias Canal aunga mkono juhudi za mbunge Bashungwa, achangia mil.1/- kuboresha sekta ya elimu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Kufuatia juhudi zinazofanywa na Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe Innocent Bashungwa katika kuimarisha sekta ya elimu ikiwemo ujenzi wa shule mpya ya msingi ya Kigasha, mwandishi wa habari Mathias Canal amechangia Shilingi Milioni 1…
Majaliwa: Watanzania tuendelee kudumisha amani, upendo na mshikamano
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria vurugu, uonevu na uvunjifu wa amani. Pia amewasihi waimarishe malezi kuanzia ngazi ya familia ili kuepuka athari za mmomonyoko…
Dk Mpango amuwakilisha Rais Samia mazishi ya Makamu wa Rais Malawi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Hayati Dkt….
Waziri Mkuu mgeni rasmi swala ya Eid na Baraza la Eid kitaifa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali swala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam. Pia Mheshimiwa Majaliwa amekuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Baraza la Kitaifa lililofanyika katika msikiti huo…