JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Benki ya Akiba yazindua rasmi huduma ya kadi za visa

Na Magrethy Katengu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Benki ya Akiba (ACB) imezindua rasmi huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya huduma za miamala ya kifedha ambapo inauwezo wa kutumika sehemu yoyote Duniani. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo…

Ukraine yaonya kuhusu kutokea kwa vita vya tatu vya dunia

Waziri mkuu wa Ukraine ameiambia BBC kutakuwa na “Vita vya Tatu vya Dunia” ikiwa Ukraine itashindwa katika mzozo kati yake na Urusi, huku akilitaka bunge la Marekani kupitisha mswada wa msaada wa kigeni uliokwama kwa muda mrefu. Denys Shmyhal alionyesha…

Serikali yafungua milango wenye nia ya kuchangia mazingira

…….. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali itaendelea kufungua milango kwa wadau wenye nia ya kuchangia katika hifadhi endelevu ya mazingira. Amesema hayo wakati wa kikao na ujumbe kutoka…

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari ya athari za mafuriko ya mvua Kilombero

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Kilombero Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilombero, Serikali imetoa wito kwa wananchi kuendelea kuchukua tahadhari za mvua hasa katika maeneo yanayotuamisha maji, ili kujikinga na athari za mvua zinazoendelea kujitokeza. Wito huo umetolewa…