Category: Habari Mpya
Msajili wa Hazina azungumza na Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Perseus
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu, Aprili 20, 2024 amefanya mazungumzo na ujumbe kutoka Kampuni ya uchimbaji Madini ya Perseus ya nchini Australia iliyowakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Jeff Quartermaine pamoja na Afisa Fedha Mkuu wa kampuni…
DC Kinondoni aitaka OSHA kuvichukulia hatua viwanda visivyofuata sheria za usalama
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule ametoa wito kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuwafuatilia wamiliki wa viwanda wasiofuata sheria ya usalama wa kazi ili waweze kuchukuliwa hatua…
Waziri Makamba ataja maeneo ya kuboresha, Wizara ya Mambo ya Nje
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo yatajajadiliwa katika warsha ya Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani inayofanyika katika Chuo cha Uongozi…
Matokeo ya sensa ya wanyamapori na ripoti ya watalii wakimataifa ya 2023 kuweka hadharani
Na Mwandishi Wetu, JakmburiMedia, Arusha Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Maliasili na Utalii inatarajiwa kesho tarehe 22.04. 2024 kutangaza rasmi matokeo ya sensa ya wanyamapori, Pamoja na kuzindua ripoti ya Watalii wa Kimataifa walioitembelea nchini kwa mwaka 2023. Utangazaji…
SwissAid : Serikaki iangalie kwa jicho la upendeleo suala la kilimo hai na kuunga mkono
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SHIRIKA la SwissAid Tanzania limesema ili nchi kuwa na kizazi chenye afya na ardhi bora inayofaa kwa kilimo kwa siku zijazo ni muhimu kuwekeza katika kilimo hai ambacho kinazalisha mazao safi na salama. Aidha, SwissAid…
Wanafunzi CBE waonyesha vipaji lukuki siku ya taaluma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinakusudia kuanzisha mafunzo ya uanagenzi kwa wanafunzi wanaosoma shahada ya masuala ya benki na fedha, metrolojia na viwango, ambayo yatawawezesha kusoma huku wakifanyakazi. Akizungumza katika siku ya…