JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wagombea msikiti aliojenga Nyerere

Waumini wa Kiislamu katika Kijiji cha Butiama na uongozi wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mara wamo kwenye mgogoro kuhusu umiliki na uendeshaji wa msikiti uliojengwa kwa msaada wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kijijini hapo….

Magufuli kutua China

Rais Dk. John Magufuli kwa mara ya kwanza anatarajiwa kuvuka mipaka ya Bara la Afrika, kwa kuitembelea China kwa ziara ya kiserikali, Gazeti la JAMHURI limebaini. China imekuwa mdau muhimu wa maendeleo wa Tanzania, kupitia mkakati mahususi wa Tanzania ya…

Lowassa anena

Waziri Mkuu (mstaafu), Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea wa ushirikiano wa kisiasa wa vyama vya upinzani, maarufu kwa jina la Ukawa, amerejea CCM wiki iliyopita akitokea Chadema, ametoa neno zito. Wakati watu wengi wakijiuliza imekuwaje Lowassa, mwanasiasa aliyetoa changamoto kubwa kwa…

Wafuja mamilioni

Ufisadi wa fedha za kilimo cha miwa na kiwanda cha sukari vilivyobuniwa na Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, ndio uliomfanya Rais John Magufuli, amng’oe kwenye nafasi hiyo, JAMHURI limebaini. Mradi huo ulibuniwa na Luoga kwa kigezo cha kuongeza…

Serikali yalizwa

Kampuni ya Crown Lapidary ya jijini Arusha inayojihusisha na biashara ya madini imekumbwa na kashfa ya kutorosha madini yenye thamani ya dola za Marekani milioni 300 (shilingi zaidi ya bilioni 700), JAMHURI limebaini. Madini hayo aina ya Green Garnet, yanatajwa…

Aeleza alivyoua watoto Njombe

Kabrasha linaanza kufunguka juu ya nani anahusika na mauaji ya watoto mkoani Njombe huku ikithibitika kuwa ndumba, uchawi, ukimwi na ujinga vimekuwa nguzo ya mauaji hayo, JAMHURI limebaini. Ni wiki mbili sasa tangu matukio ya mauaji ya watoto wasiopungua saba…