JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Utata balozi wa heshima

Utata umejitokeza kuhusu raia wa Tanzania anayejitambulisha kuwa na hadhi ya kibalozi, akiwa na hati mbili za kusafiria, ikiwamo ya nchi nyingine. Sambamba na hilo, pia ana majina yanayotofautiana katika hati zote mbili, lakini anasema hana kosa lolote.   Hati…

Uchunguzi mkali NIDA

Tume tatu zimeundwa kuchunguza ubadhirifu, utendaji, utoaji vitambulisho kwa watu wasio raia na mwenendo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Katika hali ya kushtua, mfanyakazi wa NIDA (jina linahifadhiwa) ambaye ni mke wa mmoja wa…

Simbachawene awasulubu NIDA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ‘amewatoa jasho’ viongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika mkutano uliofanyika jijini Dodoma, Ijumaa iliyopita, JAMHURI limefahamishwa. Waziri Simbachawene ametaka maelezo ya kina kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NIDA,…

Kashfa NIDA

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inakabiliwa na kashfa nzito inayohatarisha usalama wa nchi kutokana na uamuzi mbovu walioufanya hivi karibuni; uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kashfa hii imetokana na masilahi binafsi, kiburi cha viongozi, kupuuza wataalamu, weledi mdogo wa baadhi…

TBS walikoroga

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamelikoroga baada ya kutoa matokeo ya uchunguzi yaliyojaa utata kuhusu shehena ya mahindi kutoka nchini Marekani ambayo imekaa bandarini kwa miaka miwili.  Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini kwamba Oktoba mwaka jana Mamlaka ya Usimamizi…

Bashe matatani

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ameingia katika mgogoro na wanachama wa Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Chai Lupembe kutokana na hatua yake ya kuvunja bodi ya chama hicho na kuteua watu wa kusimamia uendeshaji wa shamba la chai…