JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wananchi watakiwa kupima afya mara kwa mara kuepuka magonjwa ya yasiyoambukiza

Na Suzy Butondo, Jamhuri Media Shinyanga Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga Dk. Luzila John amesema magonjwa yasiyo ya kuambukiza yamekuwa yakichangia vifo vingi vya watu ambayo mara nyingi yamekuwa yakishambulia moyo, hivyo amewataka wananchi kujenga tabia…

Watuhumiwa 21 mbaroni kuhusika na dawa za kulevya kilogramu 767.2

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevyab(DCEA) imewatia mbaroni watuhumiwa 21 kwa kuhusika na za dawa za kulevya jumla ya Kilogramu 767.2 ikiwemo aina ya heroin, methamphetamine, na skanka . Ukamataji huo…

Balozi Nchimbi azuru kaburi la hayati John Komba Lituhi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, leo Jumapili, Aprili 21, 2024, amezuru kaburi la Hayati Kepteni (mst) John Damiano Komba  na kutoa heshima zake kwenye kaburi hilo kwa kuweka shada la maua. Dkt. Nchimbi…

Dk Tulia : Serikali kutoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko Itezi

Serikali itatoa viwanja 21 kwa wahanga wa maporomoko ya tope katika mlima kawetere, Itezi jijini Mbeya, huku zaidi ya vifaa na vyakula vyenye thamani ya Shilingi Milioni 40 vikitolewa kwa wahanga kuanzia tarehe 14 Aprili, 2024 maafa hayo yalipotokea hadi…

Waziri Mkuu aagiza taarifa maalumu ya udhibiti wa uvuvi haramu

*Azindua boti ya doria kukabiliana na uhalifu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi haijawasilisha hotuba ya bajeti ya mwaka 2024/2025. Ametoa agizo hilo leo…

Dk Mpango mgeni rasmi maombi ya kuliombea Taifa jijini Dodoma

Na Dotto Kwilasa, Mkuu wa MKoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, leo Aprili 21, 2024, amefanya mkutano na waandishi wa habari kuutangazia umma juu ya dhamana iliyopewa Mkoa wa Dodoma kuandaa na kufanya maombi na dua ya kuliombea Taifa katika…