Category: Habari Mpya
Yah: Tusipozuia mapema itatugharimu siku zijazo
Nianze waraka wangu kwa kuwakumbusha kuwa sasa ni rasmi tunaelekea kuugawa mwaka, wenye malengo yao naamini wanafanya tathmini walipo na wale ambao walisherehekea mwaka kwa kuangalia tarehe, labda hawana chochote cha kufanyi tathmini zaidi ya kusubiri tarehe ya mwaka mpya….
Tiba ya kupumua hatari
Wakati viongozi wa dini nchini wakisisitiza umuhimu wa kuendelea kumuomba Mungu sambamba na kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona, COVID-19, mjadala wa gharama za matibabu nchini umeshika kasi….
GePG inavyoyapaisha mapato ya Serikali
Mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya Serikali yasiyokuwa ya kodi umezidi kuimarika kuthibitisha umuhimu wake katika kuongeza mapato, pongezi kwa Wizara ya Fedha na Mipango kwa kuanzisha Government e-Payment Gateway kwa kifupi GePG. Katika kuhakikisha kuwa ukusanyaji wa mapato ya…
Sekta binafsi ipitie upya tozo
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kauli kuwa Tanzania ni ghali sana katika Sekta ya Utalii kwa maana ya gharama anazotumia mtalii kuanzia safari ya anakotoka hadi gharama atakazotumia awapo nchini. Kwanza, ieleweke kuwa gharama hizi zitumiwazo na watalii zimegawanyika…
Kinyang’anyiro cha Pembe ya Afrika
DJIBOUTI CITY, DJIBOUTI Wakati dunia ikiwa inahangaika kupambana na janga la Corona, kuna mambo yanaendelea kimyakimya ambayo yanaweza kubadilisha mahusiano na muonekano wa nchi zilizo katika Pembe ya Afrika na hata Afrika Mashariki. Kinachoendelea katika eneo hilo hakina tofauti sana…
Mgogoro Mabangu Mining, wananchi bado unafukuta
Kampuni ya Mabangu Mining ya Mbogwe, mkoani Geita imekanusha kununua mashamba ya wananchi wa Kijiji cha Nyakafuru, JAMHURI limeelezwa. Awali, wananchi wa kijiji hicho walikuwa wakiilalamikia Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya wakidai imezuia gawio la asilimia saba ya…