JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Nyota Liverpool awa Balozi Tanzania

ARUSHA Na Mwandishi Wetu Beki wa kimataifa wa Ufaransa na nyota wa zamani wa miamba wa soko wa Ligi Kuu ya England (EPL), Liverpool, MamadouSakho, ameombwa na kukubali kuwa Balozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania.Beki huyo wa kati mwenye…

UCHAGUZI KIDATO CHA V… Profesa Ndalichako unatesa maskini

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita serikali imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowashtua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa.  Wazazi wengi wanalia; hasa wale maskini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka…

Viwavi wenye sumu kali waibuka Virginia

Wana manyoya mithili ya manyoya ya paka na kwa ukaribu wanaonekana ni wazuri sana kuwachezea. Lakini amini usiamini, viwavi hao aina ya puss ni viumbe wasiopaswa kukaribiwa na binadamu hasa nchini Marekani. Hii ni kwa sababu aina hiyo ya viwavi…

TRA huu ndio ukusanyaji kodi

Juni 5, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Geryson Msigwa, ametoa taarifa ya mwenendo wa kazi za serikali, utekelezaji wa ahadi zake na eneo muhimu la ukusanyaji mapato. Msigwa ameonyesha kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuongeza makusanyo hata baada…

SHUKRANI NI MTAZAMO Shukrani ina nguzo saba

Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Kuna ambao wanatazama walivyonavyo wanashukuru. Kuna ambao wanatazama wasivyo navyo wanalalamika.  Shukrani ni mtazamo. “Shukuru kwa ulivyonavyo; utaishia kuwa na zaidi. Ukifikiria ambavyo hauna, havitatosha kamwe,” alisema Oprah  Winfrey.    Wanawake ambao hujishughulisha na kufua nguo…

Karibu RC, Bukoba ina mambo tisa

BUKOBA Na Phinias Bashaya Sina uhakika na kisa hiki kama ni kweli au ni hadithi za ‘sungura akasema’, ingawa kinatajwa katika mji wa Bukoba na pengine ndivyo ilivyokuwa.  Kwamba, mkazi mmoja wa mji huu alifunga safari akiwa na zawadi kumkaribisha mkuu…