JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Simbachawene: La Uhamiaji mmepotoshwa

*Wakili Madeleka auliza maswali magumu DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amezungumza na Gazeti la JAMHURI na kusema suala la Uhamiaji kutoa visa feki gazeti limepotoshwa na mtoa habari. Waziri Simbachawene ameliambia JAMHURI…

Walioambukizwa COVID-19 Afrika wakaribia milioni 5

ADDIS ABABA, ETHIOPIA Imethibitishwa kuwa watu 4,867,727 walikuwa wameambukizwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa corona (COVID-19) barani Afrika hadi kufikia katikati ya wiki iliyopita. Taasisi ya kukabiliana na magonjwa barani Afrika iliyo chini ya Umoja wa Afrika (AU), Africa CDC, imesema…

Mfereji wa Suez kupanuliwa

CAIRO, MISRI Mipango imeanza kuupanua Mfereji wa Suez nchini Misri kama njia ya kuhakikisha usalama na ufanisi wa usafirishaji, hasa kwa njia ya meli. Machi mwaka huu biashara duniani iliingia kwenye mtanziko mkubwa baada ya meli moja kubwa ya mizigo…

Mbowe akiri uzembe 2020

TABORA Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kushindwa kwao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana hakukuchangiwa na aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pekee, bali ni pamoja…

Mbunge: Makubwa yamefanywa Ardhi

DODOMA Na Suleiman Sultan Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Khadija Hassan Aboud, amesifu utendaji wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akisema ameleta mabadiliko katika utoaji haki, kupunguza  dhuluma, uonevu na kuondoa migogoro mingi nchini. Akizumgumza…

Uhalali wa wabunge 19 wa Chadema

DODOMA Na Mwandishi Wetu Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala juu ya uhalali wa kuwapo wabunge 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama sehemu ya Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takriban miezi mitano…