Category: Habari Mpya
Serikali yabariki uvamizi wa shamba
MOSHI Na Charles Ndagulla Watu 30 wanadaiwa kuvamia na kuendesha shughuli za kilimo kwenye shamba lenye ukubwa wa ekari 70 katika Kijiji cha Mtakuja, Mabogini, wilayani Moshi. Shamba hilo linadaiwa kuwa mali ya Edward Merishoki, aliyefariki dunia mwaka 1986, sasa…
Anayepata Sh milioni 168 kwa siku amtishia maisha mbunge
GEITA Na Antony Sollo Siku chache baada ya Mbunge wa Sengerema, Khamis Tabasamu (CCM), kuanika kisa cha kutishiwa kuuawa, ni vema tukatafakari kwa kina sababu za kutokea hali hiyo. Akiwa bungeni wiki iliyopita wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Nishati,…
Vijana ni nguvu ya taifa
Taifa lolote duniani linajengwa na nguvu kubwa ya vijana. Wao ndio kundi kubwa na pana katika shughuli za kila siku za binadamu. Ingia katika fani yoyote utakutana na vijana. Rika hii muhimu inaanzia katika umri wa miaka saba hadi thelathini…
Yah: Hapa ndipo tumefika
Kuna wakati niliwahi kuandika waraka nikauliza baadhi ya maswali ambayo nilidhani waliosoma wangesema hili tulijadili kidogo badala ya kupita kimyakimya. Haikuwa hivyo, na kwa kweli ninaendelea kuumia sana kwa sababu sioni mahali ambapo tunasisitiza kuacha majungu. Badala yake tunatafuta namna…
Sabaya gumzo
*Arusha yasisimka, mageti yakifungwa mahakamani *Wananchi wadai mkoa una nuksi ya viongozi vijana *Wadaiwa kuwaangusha waliowaamini, ni masikitiko *Uvumi Makonda kukamatwa watawala mitandaoni ARUSHA Na Hyasinti Mchau Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya,…
Soko la Chifu Kingalu ni ‘bomu’
*Vibanda zaidi ya 200 vyafungwa kwa miezi sita *Biashara yadorora, kisa? Malumbano na Manispaa Morogoro Na ALEX KAZENGA Kutokuaminiana kati ya baadhi ya wafanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu na uongozi wa Manispaa ya Morogoro kunatajwa kuwa tishio kwa…