JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Uwekezaji: Fursa ya kuichangamkia – (2)

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita tulitazama namna ambavyo kampuni ya uwekezaji wa pamoja inayomilikiwa na serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango inavyofanya tathmini na utafiti wa kina kabla ya kuwekeza fedha zilizokusanywa. Endelea… Tofauti ni nyingi,…

Binti Arusha aweka rekodi

ARUSHA Na Hyasinti Mchau Binti wa Arusha, Rawan Dakik (20), ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza mwanamke kupanda Mlima Everest. Mlima huo uliopo nchini Nepal, barani Asia, ndio mrefu kuliko yote duniani, kilele chake kikiwa mita 8,849. Rawan, amerejea…

 Kante kioo cha Mzamiru 

Na Mwandishi Wetu  Umewahi kutulia na kumtazama kwa jicho la tatu kiungo wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam na timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Mzamiru Yassin?  Kwa upande mwingine, unamfuatilia kwa umakini kiungo wa Klabu ya…

Senegal kuanza kuzalisha chanjo za corona

DAKAR, SENEGAL Senegal imetangaza kuwa imeanza maandalizi ya kuzalisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa corona. Inaungana na nchi nyingine kadhaa za Afrika ambazo nazo zimetangaza mipango yao ya kuzalisha chanjo dhidi ya ugonjwa huo ambao umeisumbua dunia kwa zaidi ya…

Bei ya mafuta yaanza kupanda tena

LONDON, UINGEREZA Bei ya mafuta katika soko la dunia imeanza kupanda baada ya kuwa chini kwa kipindi kirefu kutokana na madhara ya janga la COVID-19. Bei ya pipa moja la mafuta ilifikia dola 70 jijini New York katikati ya wiki…

Maelfu wakabiliwa na njaa Tigray

ADDIS ABABA, ETHIOPIA “Kuna njaa hivi sasa huko Tigray.” Ni kauli liyotolewa na ofisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa, Mark Lowcock, na kuwashtua watu wengi. Alikuwa akielezea hali ilivyo katika Jimbo la Tigray nchini Ethiopia ambalo kwa…