Category: Habari Mpya
Shule zilizokumbwa na mafuriko wanafunzi wataendelea na masomo – Waziri Mkenda
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Rufiji SERIKALI inaendelea kurekebisha miundombinu ya elimu ambayo imeathiriwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha ,na kuagiza wanafunzi wote walio kwenye maeneo ambayo yameathiriwa na mafuriko kote nchini wahakikishe wanaendelea na shule . Aidha wazazi na walezi wa…
TARURA Karagwe yafungua Km 108 za barabara
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera imefanikisha kuongeza wigo wa mtandao wa barabara ambapo jumla ya Km 108 za barabara mpya ambazo hazikuwepo kabisa zimefunguliwa. Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa TARURA Wilaya…
Rais Samia aridhishwa na kazi ya mabalozi na kuwataka kuongeza juhudi
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na tekbolojia nchini. Rais Samia ametoa pongezi…
CCM yampongeza Dk. Rose Rwakatare kusaidia waathirika wa mafuriko
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Morogoro MWENYEKITI wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare ametoa msaada wa tani tano za mchele kwa waathirika wa mafuriko wa jimbo la Mlimba mkoani humo. Alikabidhi msaada huo leo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero,…