Category: Habari Mpya
RC Kunenge aipongeza Mafia kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi
Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia, Mafia Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi. Kunenge ameyasema hayo katika kikao cha kujadili hoja za CAG kilichofanyika wilayani…
CTI yasema bajeti itasisimua ukuaji wa viwanda
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI), limepongeza bajeti kuu ya serikali kwa kuweka mambo muhimu ambayo yatachochea ukuaji wa viwanda nchini. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa shirikisho hilo,…
Spika Tulia aagiza Mpina apelekwe Kamati ya Maadili
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu. Akitangaza uamuzi…
Mtoto mlemavu wa ngozi auawa kikatili, akatwa ulimi na mikono
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Mwili wa mtoto Asimwe Novath (2) aliyetekwa kwa Zaidi ya wiki mbili umepatikana Juni 17, ukiwa umefungwa kwenye mfuko (sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo kama ulimi na mikono yote miwili. Tukio la kutekwa kwa…
Mbunge apongeza Kampuni ya Mwiba kutoa chakula cha bure wanafunzi 850 Meatu
Na Mussa Juma ,JamhuriMedia,Dodoma Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Simiyu, Minza Mgika ameipongeza Kampuni ya Utalii ya Mwiba Holding Ltd ambayo imewekeza wilayani Meatu mkoa wa Simiyu ,kwa kuendelea kutoa chakula cha bure kwa wanafunzi 850 wa shule ya…