JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Marekani yaiwekea vikwazo Cuba

WASHINGTON, MAREKANI Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo viongozi kadhaa wa Cuba wakidaiwa kukiuka haki za binadamu wakati wa maandamano yaliyofanyika mapema mwezi huu. Kitendo hicho cha utawala wa Rais Joe Biden kimekuja katikati ya shinikizo kutoka kwa raia wa Marekani…

Morocco yamdukua Rais wa Ufaransa

PARIS, UFARANSA Ufaransa inaishutumu Morocco kwa matumizi mabovu ya teknolojia ya kishushushu inayofahamika kama Pegasus – kuwadukua viongozi wake akiwamo Rais Emmanuel Macron na mawaziri 14. Programu hiyo inayotengenezwa nchini Israel kwa ajili ya udukuzi wa simu za watu, imeshitukiwa…

Majambazi watungua ndege ya jeshi

ABUJA, NIGERIA Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ndege ya kivita ya jeshi la Nigeria imetunguliwa na kundi linalodaiwa kuwa la majambazi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Nigeria, rubani wa ndege hiyo, Luteni Anga Abayomi Dairo, alijikuta akishambuliwa…

Uzalendo ni mapenzi ndani ya moyo

Uananchi na utaifa wa mtu ni hali mbili ambazo zinamjenga kutokana na mapenzi mazito, ridhaa na ari moyoni ya kufanya jambo jema na kumsukuma kuwa tayari afe kwa ajili ya kuitetea nchi yake. Mtu wa aina hii ndiye hasa aletaye…

Benki ya Kilimo yatoa Sh bilioni 1.15

IRINGA  Na Mwandishi Wetu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Clinton Development Initiative (CDI) imejipanga kutoa mikopo ya Sh bilioni 1.15 kufungua mnyororo wa thamani wa zao la soya mkoani hapa.  Kwa mujibu wa randama ya…

Chanjo ya corona kufufua utalii

DODOMA Na Mwandishi Wetu Serikali imepongezwa kwa kuruhusu chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19), hatua itakayofungua milango katika sekta ya utalii nchini. Sekta hiyo ambayo ni moja ya vyanzo vikuu vya mapato…