JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

‘ROMARIO’  Mwanamuziki mwenye vituko jukwaani

TABORA Na Moshy Kiyungi Unapoingia ukumbini kusakata muziki wa bendi ya Msondo Ngoma Classic, hakika utalazimika kushikilia mbavu zako utakaposhuhudia vituko, mbwembwe na vimbwanga vya mpuliza tarumbeta, Roman Mng’ande ‘Romario’. Takriban kila onyesho la bendi hiyo yeye hufanya utundu wa…

Usakatonge ulivyopora suala la Katiba mpya

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Ukweli unaojitetea ni kwamba kila Mtanzania mwenye ufahamu wa masuala ya kisiasa na uongozi anahitaji marekebisho ya Katiba yetu. Awe serikalini, awe upinzani au asiye na ufuasi wa chama. Awe Mkristo, Muislamu au asiyeamini…

Wanawake Afrika na rekodi za urais

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Katika uwanja wa siasa na uongozi Afrika, imekuwa ni nadra sana kwa wanawake kushika nafasi za juu za uongozi wa nchi ikiwamo urais. Itakumbukwa kuwa nchi nyingi za Afrika zilitawaliwa na wakoloni kutoka…

Sakata la tozo miamala ya simu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Pamoja na mawaziri Dk. Mwigulu Nchemba (Fedha na Mipango) na Dk. Faustine Ndugulile (TEHAMA) kusema kuwa Rais amesikia kilio cha Watanzania, mimi ninasema; “too good too late”! Kwa heshima kubwa ninawaambia wao kuwa; “hilo…

BAADA YA JANGA LA MOTO… Maisha mapya yaanza mbali na Kariakoo

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Mamia kama si maelfu ya wafanyabiashara waliokuwa wakiendesha shughuli zao ndani na hata pembeni mwa Soko la Kimataifa la Kariakoo wameanza maisha katika masoko mengine jijini Dar es Salaam. Wafanyabiashara hao wamelazimika kuondoka Kariakoo…

Tatizo Afrika Kusini ni zaidi ya ‘Zuma’

ZANZIBAR Na Masoud Msellem Juni 29, 2021, Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini ilimhukumu aliyewahi kuwa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma (79) kwenda jela kwa miezi 15 kwa kupuuza amri ya mahakama. Amri hiyo ilimtaka atoe utetezi wa tuhuma…