JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ally Niyonzima ameachwa Azam!

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam wanakifanyia marekebisho kikosi chao. Wanasajili kila uchwao. Licha ya kufanya usajili mkubwa wa mastaa mbalimbali, lakini pia wameachana na baadhi ya mastaa.  Mmoja wa mastaa walioachana…

LUIZA MBUTU… ‘Kizizi’ cha Twanga Pepeta

TABORA Na Moshy Kiyungi Miongoni mwa wasanii wa kike waliowahi kufanya makubwa enzi za muziki wa dansi nchini na kuwavutia wengi, ni Luiza Mbutu.  Lakini kabla yake wamewahi kuvuma wanamuziki kadhaa wa kike maarufu kama akina Tabia Mwanjelwa, Asia Darwesh ‘Super…

Masauni: Wekezeni katika  kilimo, mifugo, uvuvi

DAR ES SALAAM Na Paul Mahundi Ziara ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Masauni,  Makao Makuu ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wiki iliyopita, imeonyesha dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kufuatilia hatua…

Changamoto zilizopita zilete suluhu

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Miaka takriban 70 ya vyama vya siasa na uhuru Afrika; Tanzania ikiwa na uzoefu wa takriban miaka 30 ya siasa za vyama vingi, lakini bado haijashuhudia upinzani ukiinusa Ikulu ya Tanzania Bara wala ya…

Familia ithamini mafunzo na maadili ya dini

Pamoja na migongano ya wataalamu wa lugha juu ya fasili ya neno familia, kiujumla familia ni kundi la watu wanaokaa pamoja kama baba, mama na watoto.  Kikundi hiki mara nyingi ni sehemu ya kundi kubwa zaidi la ukoo unaounganisha watu wenye asili katika uzazi wa pamoja.  Familia zinatofautiana…

Maisha ni mapambano hadi kifo

Na Joe Beda Rupia Gesi ya kupikia imepanda bei. Hili unaweza kudhani ni suala dogo tu. Lakini kwa hakika lina ukubwa wake na limenifikirisha sana. Sisi ambao wazazi wetu ni wazee na sasa wanaishi peke yao vijijini, tukaamua kuwapunguzia ‘msalaba’…