JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tunatia aibu, tunapuuzwa

Wiki iliyopita alifariki dunia mmoja wa watu niliowapenda na kuwaheshimu mno. Utendaji kazi wake uliniaminisha kuwa pengine hakuna haja ya kuwa na mfumo huu wa sasa wa Serikali za Mitaa katika miji, manispaa na majiji.  Charles Keenja, alifanya kazi kubwa…

Maendeleo yetu na kasi ya teknolojia

Maendeleo ya mtu au watu (jamii ) yanahitaji masharti mawili – JUHUDI na MAARIFA, ambayo msingi wake mkubwa ni mtu (mwananchi) na uwezo wake. Katika utaratibu huu ili mwananchi aendelee atahitaji vitu vinne ambavyo ni Ardhi, Watu, Siasa safi na…

Wamfunda Makamu wa Rais Dk. Mpango

*Mawaziri wakuu wastaafu wamtaka asitoe matamko *Katibu Mkuu mstaafu CCM asema watampa somo vikaoni *Profesa asema ni matokeo ya kuua Kivukoni, IDM na Monduli *Jaji aonya matamko ni tanuri la migogoro, kutomheshimu Rais Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wiki…

Vigogo watafuna fidia za wananchi

TUNDURU Na Mwandishi Wetu Wananchi zaidi ya 400 wa Tunduru mkoani Ruvuma wanaulaumu Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Ruvuma kwa kuhujumu fidia walizostahili kulipwa baada ya kupisha mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami. Wananchi hao wanawalaumu…

Kesi ya Sabaya yapamba moto

ARUSHA Na Hyasinti Mchau Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya, inaingia katika wiki ya mwisho ya kusikilizwa mfululizo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Odera Amuru. Tayari mashahidi kadhaa wamekwisha…

CHANJO YA CORONA Samia, Lissu wawatoa hofu Watanzania

*Lissu: Kauli za akina Gwajima zilikuwapo miaka 100 iliyopita *Adai ni upotoshaji wa sayansi ya tiba unaofunikwa na msalaba *NIMR yasema majaribio ya chanjo yalianza kwa wanyama NA WAANDISHI WETU Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua chanjo…