JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Fitina za siasa zinavyoitafuna Afrika Kusini

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samsom Simbi Kufikia mwaka 1960 baadhi ya nchi za Afrika zilikuwa zimepata uhuru na kuanza kujitawala zikiwa na jukumu kubwa la kutoa mchango wa hali na mali katika ukombozi wa Bara zima la Afrika. Pamoja…

Katiba 2025 itamke kama ni Ujamaa au la!

BAGAMOYO Na Marie binti Shaba Katika hotuba yake kwa taifa kupitia wanawake, Rais Samia Suluhu Hassan, aligusia mambo yaliyojaa busara. Binafsi niliguswa na mbinu aliyoitumia kuelezea kwamba binadamu wote tuna nguvu sawa mithili ya pande mbili za sarafu moja.  Samia…

Rwanda yawachapa waasi Msumbiji

MAPUTO, Msumbiji Bataliani ya jeshi la Rwanda inaripotiwa kutinga kaskazini mwa Msumbiji na kufanya mashambulizi makubwa dhidi ya kikundi cha kigaidi kinachoua hovyo raia.  Ndani ya wiki mbili tu, kikosi hicho cha kwanza kutoka nje ya nchi kupelekwa kupambana na…

Kampuni ya Kitanzania ya uwindaji yashinda kinyang’anyiro cha kitalu

DODOMA Na Lusungu Helela, WMU Kampuni ya Kitanzania ya Bushman Hunting Safaris imekuwa ya kwanza kwenye tasnia ya uwindaji wa kitalii nchini kushinda na kukabidhiwa mkataba wa Uwekezaji Mahiri katika Maeneo ya Wanyamapori (SWICA). Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk….

TCCIA kuwainua vijana kibiashara

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Rais wa Chemba ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Paul Koyi, ametoa wito kwa vijana wanaojishughulisha na biashara kujiunga na chemba hiyo. Akizungumza wakati wa ziara yake Makao Makuu ya Kampuni ya Salim…

Chanjo ya corona ni hiari, lakini muhimu

Julai 28, mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua chanjo ya Covid-19 (corona). Katika uzinduzi huo uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Samia, amechanjwa chanjo ya Johnson & Johnson inayotolewa kwa dozi moja ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa…