JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kuna watu wananyimwa ‘keki ya taifa’?

Na Joe Beda Rupia Keki. Inadhaniwa kuwa ni moja kati ya vyakula vitamu duniani. Wakati mwingine hutumika kama alama ya upendo na umoja. Keki. Shughuli bila keki haijakamilika. Harusi au sherehe za kuzaliwa bila keki! Hiyo haiwezi kuwa shughuli. Haijakamilika….

Adaiwa kuiba misalaba makaburini

KATAVI Na Walter Mguluchuma Polisi mkoani Katavi wanamshikilia mkazi wa Majengo mjini Mpanda, Mashaka Sokoni (28), kwa tuhuma za kukutwa na vipande 35 vya vyuma vya misalaba ya makaburi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga, amesema Sokoni amekamatwa…

Hili la madarasa lazima  Ma-RC wakumbushwe?

Watoto zaidi ya milioni moja wamo katika maandalizi ya mitihani ya kumaliza masomo ya shule ya msingi inayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi ujao nchi nzima. Maana yake ni kwamba ndani ya miezi mitatu tu baada ya hapo, watoto hawa watahitaji…

TIC yaanika mafanikio ya uwekezaji

DARE SALAAM Na Aziza Nangwa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesema miradi mipya 235 yenye thamani ya mabilioni ya fedha imesajiliwa katika kipindi cha mwaka 2020/21. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Dk. Maduhu Kazi, anasema miradi…

Zengwe la mafuta

*Masilahi binafsi ya vigogo yatajwa yaongeza bei za dizeli, petroli nchini *Wapandisha usafirishaji kutoka Sh 110,000 hadi Sh 165,000 kwa tani *Rais Samia ambana Waziri, Septemba ashusha usafirishaji hadi Sh 13,000 kwa tani *EWURA yataka maelezo hasara ya Sh milioni…

Ofisa PSSSF mbaroni kwa wizi

*Adaiwa kuongoza genge la madalali feki wa mahakama *Anaswa baada ya JAMHURI kuripoti taarifa za genge hilo  DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala limewafikisha mahakamani watu sita akiwamo ofisa wa Mfuko wa Pensheni kwa…