Category: Habari Mpya
Wadau wa uongezaji thamani madini waitikia wito wa Serikali kuwekeza kwenye viwanda nchini
Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma, Dodoma, Katavi na Lindi Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo wadau wa Sekta ya…
RC Chalamila : Dar iko salama, barabara zote zitafanyiwa ukarabati
-Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika ziara hiyo…
TAKUKURU Kinondoni yapokea malalamiko 84 kwa kipindi cha Januari hadi Machi, 2024
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia,Dar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Kinondoni imesema katika kipindi cha miezi mitatu Januari hadi Machi ,2024 wamefanikiwa kupokea jumla ya malalamiko 84 ambapo yaliyohusu rushwa ni 40 yasiyohusu rushwa ni 44. Amebainisha…
JKCI yaanza kuwahudumia wagonjwa majumbani
……………………………. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeanzisha huduma ya kuwahudumia wagonjwa wakiwa majumbani (home based care) ambayo itasaidia kupunguza gharama ambazo mgonjwa uzitumia akiwa hospitalini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati…
NCAA : Hakuna mwananchi atakayepata nyumba kinyume na utaratibu
NA Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Karatu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kwamba ipo makini kuhakikisha kuwa kila kaya inayojiandikisha kuhama kwa hiyari ndani ya hifadhi inapata nyumba katika Kijiji cha Msomera kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na kwamba hakuna mtu…
Bajeti ya matengenezo miundombinu ya umeme kuendelea kuongezeka kila mwaka – Kapinga
📌 Shilingi Bilioni 109.8 zatumika mwaka 2023/2024 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) itaendelea kuongeza bajeti kila mwaka ya matengenezo ya miundombinu ya umeme hadi changamoto…