Category: Habari Mpya
Sabaya aamua kufukua makaburi
ARUSHA Na Hyasinti Mchau Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya, amedai mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwamba alikwenda kwenye duka la Shaahid Store kutekeleza maagizo ‘kutoka juu’. Akiongozwa na Wakili Mosses Mahuna wakati…
Karibuni kwenye ‘show’ za Aucho
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita Yanga walimalizana na Mganda Klalid Aucho. Aucho ni kiungo wa ulinzi anayefanya sana kazi kiwanjani. Hapa Yanga wamepata mtu wa shoka. Binafsi ni shabiki wa Aucho. Tena ni shabiki wake mkubwa. Tangu…
S2Kizzy: Master J, sisi si chawa
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Kauli iliyotolewa hivi karibuni na mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joachim Kimaryo, maarufu kama Master J, imemuibua mtayarishaji ‘chipukizi’, S2Kizzy, akisema siku hizi mambo yamebadilika. Hivi karibuni, Master J amekaririwa akisema watayarishaji wa muziki…
Vifo vya mabilioni vyatikisa
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Katika siku za hivi karibuni, sekta binafsi na jumuiya ya wafanyabiashara nchini imetikiswa na vifo vya mabilionea vilivyotokea ndani ya wiki moja. Vifo hivyo vinajitokeza kipindi ambacho serikali inaweka mazingira mazuri ya kodi kuvutia…
Uhuru Kenyatta ajipanga nyuma ya Raila
NAIROBI, KENYA Joto la kisiasa nchini Kenya linazidi kupanda kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani. Katika hatua iliyoshitua siasa za nchi hiyo, wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alitangaza hadharani kuwa anaunga mkono upande wa upinzani chini ya kinara wao Raila…
Taliban waikamata Afghan taratibu
KABUL, AFGHANISTAN Kitendo cha Marekani kuondoa majeshi yake nchini Afghanistan kumewaachia uhuru wanamgambo wa kundi la kigaidi la Taliban ambao wameanza kuiteka miji muhimu nchini humo. Taarifa kutoka Afghanistan zinaeleza kuwa katika kipindi cha mwezi mmoja tu wanamgambo hao tayari…