Category: Habari Mpya
‘Ajali za kutisha barabarani zimedhibitiwa’
DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Matukio ya ajali za barabarani yakihusisha magari, pikipiki, Bajaj, baiskeli, guta na watembea kwa miguu yamepungua kwa kiwango kikubwa nchini. Akizungumza na JAMHURI katika mahojiano maalumu, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishina Msaidizi…
Mgogoro ardhi waiweka manispaa njia panda
DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Manispaa ya Kigamboni imewekwa mtegoni na wakazi 31 wa Mtaa wa Magede, Kisarawe II, baada ya kuitaka itatue mgogoro wa ardhi baina yao na Kampuni ya Oilcom. Mgogoro huo unahusu eneo la ekari 34…
Hii ndiyo Yanga ninayoijua
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hii ndiyo Yanga ninayoijua. Inaingia sokoni kibabe, inasajili kibabe, kisha mashabiki na wanachama wake nje wanaanza kupiga mikwara mtaani. Simba si kama hawajasajili nyota, wamesajili nyota, lakini wako zao kimya katika ishu za mikwara…
Mwakabibi, urais 2025 CCM
Na Deodatus Balile Ndugu msomaji ninakushukuru kwa mrejesho mkubwa ulionipa wiki iliyopita. Sitairejea makala ya wiki iliyopita, ila leo nitazungumzia kwa uchache kilichomtokea aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi. Mwakabibi na mwenzake wamepandishwa kizimbani kwa kesi ya uhujumu…
RIPOTI UCHAGUZI MKUU Wanasiasa waunga mkono mapendekezo
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemkabidhi Rais Samia Suluhu Hassan Ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana huku ikiambatanisha mapendekezo kadhaa ili kuimarisha ufanisi wa shughulu zake. Katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini…
HAKAINDE HICHILEMA (HH) Rais mpya wa Zambia aliyeshindwa mara tano
LUSAKA, ZAMBIA Na Kennedy Gondwe, BBC Baada ya kushindwa mara tano mfululizo katika Uchaguzi Mkuu wa Zambia, hatimaye bahati imemuangukia Hakainde Hichilema, na sasa amefanikiwa kuwa Rais wa taifa hilo. Hichilema amemwangusha mpinzani wake mkuu, aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar…