Category: Habari Mpya
Stars na matumaini kibao
DAR ES SALAAM Na Mfaume Seha, TUDARco Timu ya taifa, Taifa Stars, imejiweka katika nafasi nzuri kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini Qatar mwakani. Stars inaongoza Kundi ‘J’ lenye mataifa ya DRC, Benin na Madagascar, ikiwa…
Kauli ya Spika Ndugai isiachwe ipite hivi hivi
Spika Job Ndugai, ametoa kauli inayohitaji kufanyiwa kazi na mamlaka zinazohusika. Akizungumza wakati wa kuahirishwa Mkutano wa Bunge jijini Dodoma mwishoni mwa wiki, Spika Ndugai alishangazwa na namna baadhi ya watumishi wa serikali wasivyotulia katika makao makuu hayo ya nchi….
Ukakasi trafiki kuuliza kabila
Mwaka 2013 nikiwa Geita nilibanwa tumbo; hali iliyonifanya niende katika zahanati ya madhehebu ya dini iliyokuwa jirani. Nilipokewa na kutakiwa nitoe maelezo ya jina, umri, ninakoishi na dini. Hii haikuwa mara ya kwanza kuulizwa swali hilo katika zahanati na hospitali,…
Wafukuzwa kazi kwa mgomo Mwendokasi
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Sinohydro wanaojenga barabara ya mabasi yaendayo haraka kutoka Kariakoo hadi Mbagala wamefukuzwa kazi huku wengine wakirejeshwa licha ya kufanya mgomo wiki iliyopita wakishinikiza kulipwa fedha za usafiri, chakula…
Nimrod Mkono aumizwa
*Nyumba ya Sh bil. 7 inauzwa kulipa Sh mil. 30 *Familia yapambana usiku, mchana kunusuru * Tayari ofisi zake ghorofa 2 zimepigwa mnada NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Nyumba ya makazi ya mwanasheria na mwanasiasa nguli nchini, Nimrod Mkono,…
Benki yahukumiwa kwa kumwibia mteja
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Biashara imeiamuru EcobankTanzania Limited kumlipa mteja wake zaidi ya Sh milioni 100 baada ya kukutwa na hatia ya ‘kukwapua’ takriban Sh milioni 66 kutoka kwenye akaunti yake. Hukumu…