Category: Habari Mpya
NIDA inavyoliwa
*Yakwama kutoa Vitambulisho vya Taifa kwa wakati *Mabilioni ya fedha za tozo yaachwa bila kukusanywa *Ukarabati wa magari, mitambo haujafanyika bila sababu *Mkuu Kitengo cha Mawasiliano asema: ‘Hatuna majibu’ DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa…
PENTAGON Wizara ya Ulinzi Marekani iliyopitia misukosuko mbalimbali ya kigaidi
• Ni jengo lenye ofisi nyingi kuliko lolote duniani • Limeenea kwenye eneo la hekta 29 • Hutoa huduma za simu zipatazo maili 100,000 • Posta za jengo hilo hupokea barua zaidi ya 100,000 kila siku • Ni jengo lenye…
DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe
Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa Sh 600,000. Anashitakiwa pia kwa tuhuma za kupanga njama za kulipua vituo vya…
Wataliban wapandisha bendera ya utawala
KABUL, AFGHANISTAN Wanamgambo wa Taliban wamepandisha bendera nyeupe kwenye jengo la rais kuashiria mwanzo wa utawala wao katika taifa la Afghanistan. Hatua hiyo imefikiwa baada ya operesheni ya kuleta amani iliyoanzishwa na Marekani ndani ya taifa hilo kukoma. Ripoti za…
MK Group na ngoma za maghorofani
*Ilikommbolewa na Miraji Shakashia akiwa shule ya msingi TABORA Na Moshy Kiyungi Kuna wanaodai kuwa muziki wa dansi umekufa kwa kulinganisha na ilivyokuwa miaka ya 1960 na 1990. Wakati huo karibu kila mji ilikuwapo bendi ikitoa burudani kwa wakazi wa…
Mtibwa Sugar itupiwe jicho makini
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mtibwa Sugar wamelifunga dirisha la usajili kibabe sana. Wamesajili majembe ya maana. Msimu ujao siwaoni tena katika nafasi za mwisho kwenye msimamo wa ligi. Siku moja kijiweni kwetu Kinondoni niliwahi kumwambia mmoja wa wachezaji…