Category: Habari Mpya
Mvutano mkali waibuka nyongeza chanjo ya corona
Washington, Marekani Jopo la washauri wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) limekumbana na mvutano mkali wakati wa kupitisha mapendekezo ya kuanza kutolewa kwa nyongeza ya chanjo ya corona (Covid-19) kwa waliochanjwa chanjo ya aina ya Pfizer nchini Marekani….
Mambo ya msingi hayatajwi madai Katiba mpya
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu hitaji la Katiba mpya bado haujakufa miongoni mwa wananchi, wanaharakati, wasomi na wanasiasa. Lipo kundi la wale wanaodhani sasa ni muda mwafaka kwa Tanzania kuwa nayo. Pia wapo wale wanaoamini kwamba waraka…
‘Chanjo ya UVIKO-19 ishara ya upendo kwa jirani’
Na Waandishi Wetu Nia ya uchambuzi huu ni kutoa ushauri kwa watu, hususan Wakristo, katika suala la kujikinga na Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19). Tunajua ugonjwa huu ni hatari na umeua watu wengi duniani kwa kipindi kifupi. Ni janga…
Makamba na ‘uchungu wa mimba’ ya TANESCO
Waziri wa Nishati, January Makamba, Septemba 17, mwaka huu alizungumza na watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo, pamoja na mambo mengine, ilisukumwa zaidi na tatizo sugu la kukatika umeme nchini mara kwa mara…
Pazia urais 2025 lafungwa
*Ameamua kuvunja kikombe, wenye nia na urais wasubiri hadi 2030 *Queen Sendiga: Wanawake tukikosea 2025 tutasubiri kwa miaka 100 *Dorothy Semu ataka kwanza awajengee wanawake uwezo kiuongozi DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati ndoto za kugombea urais mwaka 2025…
Polisi walikoroga
NA MWANDISHI WETU SHINYANGA Shinikizo linawekwa kwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Bukombe mkoani Shinyanga kumchukulia hatua za kisheria mwalimu anayetuhumiwa kumuua mkewe ambaye pia ni mwalimu, kisha ‘kuigiza’ kuwa amejinyonga. Katika kibali cha mazishi, inathibitishwa kuwa chanzo cha kifo…