Category: Habari Mpya
Sababu Happy, Beka kutengana zaelezwa
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Wimbo ‘Nimpende’ wa msanii Ibra unatajwa kuwa sababu ya kutengana kwa wapenzi wawili, Happy Reuter na Beka Flavour. Akizungumza na JAMHURI jijini Dar es Salaam, msanii wa filamu na michezo ya kuigiza, Happy, anasema…
Wakati umefika Serikali imalize kilio cha wazee
Umoja wa Mataifa (UN) umeitenga Oktoba Mosi ya kila mwaka kuwa Siku ya Wazee Duniani, ambapo mataifa mbalimbali huiadhimisha kwa namna tofauti, ikiwamo kukumbushana haki za wazee. Kaulimbiu ya siku hii kwa mwaka huu ni ‘Safari ya kuzeeka kwa usawa’,…
‘Hii ni awamu ya matendo makali’
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan, ameendelea kufanya mabadiliko ya uongozi katika ngazi mbalimbali, lengo likiwa ni kuleta tija katika harakati za kuwahudumia Watanzania kuleta maendeleo na ustawi wa jamii. Tangu…
Idadi ya viboko yazua balaa
KATAVI Na Walter Mguluchuma Kila msiba una mwenyewe. Msemo wa wahenga unaolenga kuweka msisitizo katika umiliki wa suala lolote lile; liwe baya au zuri. Kupuuza msemo huu na mingine kadhaa iliyobeba ujumbe mzito ni kujitakia balaa na aghalabu, ni kujicheleweshea…
Benki zaagizwa kuboresha huduma kwa akina mama
DODOMA Na Costantine Muganyizi Serikali imezipongeza benki zenye utaratibu maalumu wa kuwahudumia wanawake nchini ikisema kufanya hivyo si tu kunawapa ahueni ya maisha akina mama nchini, bali pia una tija na mchango mkubwa katika ujenzi wa taifa. Pia utaratibu huo…
Mapigano jela yaua watu 100
QUITO Ecuador Walau watu 116 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na mapigano yaliyozuka ndani ya jela moja nchini Ecuador kati ya mahabusu na wafungwa wa makundi mawili hasimu. Taarifa rasmi zinataja vurugu hizo kuwa ndizo mbaya zaidi kuwahi kutokea ndani ya…