Category: Habari Mpya
Uongozi wa soka nchini washitakiwa
Dar es Salaam NA ALEX KAZENGA Viongozi wenye jukumu la kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini wameshitakiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Wanashitakiwa kwa uzembe na kukosa uwajibikaji, hali inayotajwa kuwa kikwazo kwa ustawi wa soka. Aliyefikisha mashitaka hayo…
Kutaja siku ya kifo cha Mwalimu bila kuyaishi maono yake ni kejeli
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Aprili 13, 1922, mtoto wa kiume alizaliwa kaskazini mashariki mwa Tanzania. Wazazi na ndugu zake hawakujua mtoto yule mdogo angekuja kuwa nani kwa taifa na duniani. Simulizi zinasema wazazi wake wakampa jina la Kambarage,…
Upepo wa kisiasa unavyowatikisa wanasiasa
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi nchini Julai 1992 na kufanyika Uchaguzi Mkuu wa kwanza chini ya mfumo huo mwaka 1995, kumekuwa na wimbi la wanasiasa kuhama chama kimoja na kujiunga na…
Mwelekeo mpya
*Rais Samia avunja usiri wa mikopo serikalini *Aanika kiasi ilichokopa serikali, matumizi yake *Wingi wa miradi kuchemsha nchi miezi 9 ijayo *PM asema ‘kaupiga mwingi’ 2025 – 2030 mtelezo DODOMA Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mwelekeo mpya…
NMB wamtia umaskini mstaafu
DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Uzembe unaodaiwa kufanywa na Benki ya NMB Makao Makuu umesababisha kushindwa kuondoa majonzi kwa mkunga mstaafu, Yustina Mchomvu, aliyetapeliwa fedha zake za mafao. Fedha za mjane huyo mkazi wa Msindo, Same, mkoani Kilimanjaro, ziliibwa…
Maono ya Baba wa Taifa kuhusu wanawake
DAR ES SALAAM Na Anna Julia Chiduo – Mwansasu Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia tena kuandika kwenye Gazeti letu la JAMHURI katika kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kilichotokea miaka 22 iliyopita, Oktoba…