JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Sengerema wamjaribu Rais Samia

SENGEREMA Na Antony Sollo Fedha zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, zimeliwa. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa wizi wa fedha hizo umefanywa kwa ustadi mkubwa na maofisa kadhaa wa…

Mgongano ajira Polisi

*Kauli ya Simbachawene yadaiwa kudhalilisha makonstebo DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Sifa za vijana wanaoomba ajira katika majeshi kuwa na ufaulu wa daraja la nne zimezidi kuibua mgongano wa kauli baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,…

Hatua hii ya Serikali iwe ya kudumu

Serikali imeamua kwa makusudi kuwapanga wafanyabiashara wadogo na jana ilitarajiwa kuwa siku ya mwisho kwa wafanyabiashara hao maarufu kama wamachinga wa Dar es Salaam kuondoa vibanda vyao katika maeneo yasiyo rasmi. Hii ni hatua muhimu katika utekelezaji wa maelekezo ya…

Tukisikia ya watesi wengine Sabaya ataonekana malaika

Watu waungwana hawashangilii binadamu anapofikwa na mabaya, lakini huwa hawajizuii kufurahi wanapoona haki imetendeka. Naam! Wapo wanaoshangilia si kwa kuwa Lengai Sabaya amefungwa, bali kwa kuona haki imetendeka. Ni jambo la huzuni kwa kijana mdogo kuhukumiwa kifungo kikali kiasi hicho,…

Bei ya mafuta yapaa

• Ni baada ya OPEC kugoma kuongeza uzalishaji WASHINGTON, MAREKANI Bei ya mafuta katika soko la dunia ilifikia dola 79 kwa pipa wiki iliyopita, kikiwa ni kiwango cha juu tangu mwaka 2014.  Hali hiyo iliyoshitua nchi nyingi duniani ilitokana na…

Askari wa zamani ANC mbaroni kwa kuwateka mawaziri

JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Takriban watu 56 walikamatwa katika Hoteli ya St George katika eneo la Irene, jijini Pretoria, baada ya polisi kufanikiwa kumuokoa Waziri wa Ulinzi, Thandi Modise (pichani), naibu wake, Thabang Makwetla na Waziri katika Ofisi ya Rais, Mondli…