Category: Habari Mpya
LES MANGELEPA Wacongo walioweka maskani Nairobi
TABORA Na Moshy Kiyungi Baadhi ya wanamuziki wa Orchestra Baba Nationale ‘walichomoka’ baada ya kutokea kutoelewana kati yao na uongozi, wakaunda kikosi cha Les Mangelepa. Hiyo ilikuwa ni Julai 1976, wakiongozwa na Bwammy Walumona ‘La Capitale’, wakimuacha Ilunga Omer Ilunga…
Wageni, maofisa Tanga Cement mbaroni tena
DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Kampuni ya Tanga Cement PLC imeendelea kutoa malalamiko yake kwa Idara ya Kazi Mkoa wa Tanga baada ya wataalamu saba kutoka Afrika Kusini waliokuja kutoa mafunzo ya uendeshaji mitambo kwa wafanyakazi wao kukamatwa tena…
Mchango wa mlemavu wamng’oa mwenyekiti
MOROGORO Na Mwandishi Wetu Wakazi wa Lukwenzi, Mvomero mkoani Morogoro wamemwondoa madarakani Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Zakaria Benjamin, wakimtuhumu kupoteza fedha za umma, zikiwamo Sh 350,000 zilizotolewa na Maria Costa ambaye ni mlemavu. Benjamin amekuwa akilalamikiwa mara kwa mara kwenye…
Umoja wa Ulaya wavurugana
BRUSSELS, UBELGIJI Wanachama wa Jumuiya ya Ulaya wameanza kuvurugana baada ya baadhi yao kukataa kuutambua mkataba unaounda umoja huo kuwa una nguvu kuliko sheria zao za ndani. Poland ndiyo inayoongoza kupinga ukuu wa mkataba wa Jumuiya ya Ulaya dhidi ya…
Waliomzamisha Sabaya
*Mashahidi wazungumza na JAMHURI, walieleza ya moyoni *Wamsifu Rais Samia kurejesha utawala wa sheria nchini *Wataka wateule wapate fundisho kwani ipo siku yatawakuta *Gazeti la JAMHURI lilikuwa la kwanza kufichua uovu wake DAR ES SALAAM, ARUSHA Na Waandishi Wetu Mashahidi…
Sengerema wamjaribu Rais Samia
SENGEREMA Na Antony Sollo Fedha zilizotolewa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, zimeliwa. Uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa wizi wa fedha hizo umefanywa kwa ustadi mkubwa na maofisa kadhaa wa…