JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mabilioni ya Samia yazusha hofu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Watendaji wa serikali na halmashauri za wilaya, nyingi zikiwa ni za pembezoni mwa nchi, wamo kwenye wakati mgumu wakiwaza namna watakavyotekeleza kwa ufanisi maelekezo yaliyotolewa na Serikali Kuu, hasa kwa upande wa ujenzi wa…

Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani

Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii.  Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani mkopo wa Sh trilioni 1.3,…

Kusaka kupendwa kumeiumiza nchi

Jiji la Dar es Salaam, na bila shaka majiji na miji mingine, hali ya ustaarabu mitaani imerejea. Mitaa inapitika na thamani kwa waenda kwa miguu imerejeshwa. Bahati nzuri Watanzania wengi ni waelewa. Wapo waliodhani mpango wa kuwaondoa wamachinga katika maeneo…

Uwazi, uwajibikaji na usimamizi kikwazo sekta ya madini mkoani Lindi

Na Christopher Lilai, Lindi Uwazi, uwajibikaji na usimamizi ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazoikabili sekta ya madini nchini. Kwa kawaida, katika shughuli za utafutaji na uchimbaji wa madini ushirikishwaji wa wananchi ni mdogo sana. Katika maeneo mengi, wananchi wanaona shughuli…

Umaarufu, jinsia si sifa kuwa kiongozi bora

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Uongozi ni mchakato wa kusimamia, kuelekeza na kutoa njia zinazotakiwa kufuatwa ili kutafuta suluhu ya changamoto katika kufikia shabaha inayojengwa. Kiongozi ni mtu mwenye jukumu la kusimamia, kuelekeza na kutoa njia zinazotakiwa kufuatwa kufikiwa…

TFF yapongezwa, yapondwa

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita kulifanyika hafla ya utoaji wa tuzo mbalimbali kwa wanasoka na wadau wengine wa michezo waliofanya vizuri katika msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/2021. Hafla hiyo ya kuvutia ilifanyika kwenye Ukumbi wa…