Category: Habari Mpya
Bukoba wapinga kuanzisha mkoa wa Chato
*Waeleza ilivyojinyofoa Mkoa wa Kagera mwaka 2005 *Wataka Geita ibadilishwe jina iitwe Chato kumaliza kazi Na Mwandishi Wetu, Bukoba Wabunge na wazee wa Mkoa wa Kagera wamepinga kuanzishwa Mkoa mpya wa Chato kwa kumega wilaya za Bihalamulo, Ngara na kata…
Taratibu tunarejea tulikokuwa kabla
Mmoja wa wasomaji kindakindaki wa JAMHURI amenipigia simu na kuukosoa msimamo wangu kuhusu wachuuzi (wamachinga), akisema ninavyopendekeza watengewe maeneo maalumu, maana yake ninataka tatizo hilo liendelee kukua. Kwa mtazamo wake, uwepo wa wamachinga wengi kiasi kinachoonekana sasa katika miji na…
Hoja ya Afrika moja iliishia wapi?
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Afrika ina historia ndefu inayohusishwa na maisha magumu kutokana na ukosefu wa siasa safi, ajira na matumizi mabaya ya rasilimali zilizopo. Maisha ya Mwafrika kijamii, kisiasa, kiutamaduni na kiuchumi ndiyo yanayoonekana duni kuliko maeneo…
Ronaldo ni msaada au mzigo Man U?
MANCHESTER, England Kabla ya wikiendi hii kufunga bao la kwanza miongoni mwa matatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham, mashabiki wa soka England walijiuliza maswali kadhaa kuhusu uwezo wa mwanasoka mkongwe na maarufu duniani, Cristiano Ronaldo. Akiwa na umri…
Kimobiteli: Binti wa Kizanzibari aliyeanzia Shikamoo Jazz band
TABORA Na Moshy Kiyungi Ukitazama ghafla jukwaani unaweza kudhani kuna mtoto wa shule aliyepanda kuimba na kunengua, lakini kumbe ni mwanamuziki maarufu wa dansi nchini, Khadija Mnoga. Umbo lake dogo na sura yenye bashasha muda wote, sambamba na umahiri wake…
Wataka uwazi mikataba ya uziduaji
DODOMA Na Mwandishi Wetu Asasi za kiraia nchini (AZAKI) zimependekeza suala la uwazi wa mikataba ya sekta ya uziduaji kuwa mojawapo ya vipaumbele vya serikali wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Tatu unaotekelezwa sasa. Pendekezo hilo…