Category: Habari Mpya
Wananchi washirikishwe kutoa maoni miaka 60 ya Uhuru wetu
Serikali imetangaza utaratibu katika kuelekea kwenye kilele cha sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) ifikapo Desemba 9, mwaka huu. Tunaupongeza utaratibu wa wizara kujitokeza kuainisha mafanikio ya kisekta yaliyopatikana kwa muda wote huu wa miongo sita. …
Saida Karoli… Almasi iliyookotwa kijijini
TABORA Na Moshy Kiyungi Simulizi zinasema zamani wenyeji wa Shinyanga walikuwa wakiokota mawe yanayong’ara bila kutambua kuwa ni mali. Wazungu walipoyaona mawe hayo mara moja wakatambua kuwa ni almasi, madini yenye thamani. Inadaiwa kuwa wakaanza kuwalaghai wenyeji kwa kubadilishana mawe…
Mapinduzi ya kijeshi, ulafi wa madaraka Afrika
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Baada ya kutawaliwa kwa miaka zaidi ya 70, hatimaye nchi za Afrika zilianza kujitawala na kuunda jumuiya mbalimbali chini ya jumuiya mama, OAU na baadaye AU zenye madhumuni ya kulinda amani, umoja na…
Vijana wanaweza, urais si kwa wazee pekee
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Desturi za maisha ya jamii zinabadilika kila siku kutokana na mageuzi mbalimbali ya vitu na mazingira. Mabadiliko haya yanayochochewa na vitu vya asili na hata matendo ya binadamu huchochea pia mabadiliko katika tabia na…
Membe amwaga siri Magufuli alivyomfitini
DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (68), hatimaye amefichua mambo yaliyomfanya asielewane na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli. Membe ambaye ni mmoja wa…
Gambo lawamani
*Baraza la Madiwani Arusha, Mkurugenzi, Mbunge kila mtu na lake *Doita: Mbunge au diwani kutoa maelekezo nje ya vikao ni uchochezi *RC, TCCIA wasema kazi inaendelea, wakagua maeneo mapya ya wamachinga ARUSHA Na Mwandishi Wetu Utekelezaji wa agizo la Rais…