JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mawili niliyoyaona safarini Iringa

Hivi karibuni nilisafiri kati ya Dar es Salaam na Iringa. Njiani niliona mengi ya kuvutia, na mengine ya kuhuzunisha pia. Kilometa chache kutoka Mikumi kama unakwenda Iringa kuna wananchi wanaoishi maisha duni. Kuna biashara ndogo za mapapai na miwa. Biashara…

KUMBUKIZI YA SEIF SHARIF HAMAD Yakumbukeni mema ya wafu wenu!

Siku ya Ijumaa Novemba 5, mwaka huu 2021, katika Hoteli ya Golden Tulip, Kiembe Samaki, Zanzibar, kulifanyika kumbukizi ya maisha ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, marehemu Maalim Seif Sharif Hamad (Allaah Mtukufu Amrehemu) na kuzindua taasisi…

Miaka 60 ya Uhuru Madini yadhibitiwa kutoroshwa nje

DODOMA Na Mwandishi Wetu  Kuelekea kilele cha miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania kitakachofanyika Desemba 9, mwaka huu, Waziri wa Madini, Dotto Biteko, amesema sekta ya madini imepata mafanikio makubwa kwa kuzuia utoroshaji wa madini kwenda nje ya nchi  Biteko…

Mbrazili ametuachia Manula imara

NA MWANDISHI WETU Wiki kama mbili au tatu hivi zilizopita, mabingwa wa soka nchini, Simba Sports Club, wamelivunja benchi zima la ufundi. Wameachana na kocha mkuu, kocha wa viungo na kocha wa makipa.  Kwangu hii si stori mpya, wala hata…

Biashara Tanzania, India yadorora

KIBAHA Na Costantine Muganyizi Baada ya kuimarika na kufikia wastani wa zaidi ya dola za Marekani bilioni 2.5 mwanzoni mwa muongo huu, kiasi cha biashara kati ya Tanzania na India kimeshuka sana miaka ya hivi karibuni. Kiasi hicho cha thamani…

‘TASAF ni malaika aliyetumwa na Mungu’

MLELE Na Walter Mguluchuma Ruzuku inayotolewa na serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) imewawezesha wanakaya maskini katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi kujikwamua kimaisha kwa kuanzisha shughuli za kiuchumi. Kwa miaka saba sasa TASAF imekuwa mstari…