JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Siri ya kukimbiwa baada ya kung’atuka

Tumemsikia aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akilalamika kuwa baada ya kung’atuka marafiki hawaonekani! Baada ya kustaafu ndiyo ametambua kuwa kumbe baadhi ya marafiki walikuwa ni marafiki wa nafasi aliyokuwa nayo, na kamwe hawakuwa…

Wasudan waukataa utawala wa kijeshi

Na Nizar K Visram Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliandamana kote nchini mwao wakimkataa Rais Omar Hassan Ahmad al-Bashir aliyetawala kwa muda wa miaka 30. Polisi walitumia silaha na raia wengi waliuawa.  Mwishowe jeshi likalazimika kumuondoa Bashir na kumweka chini…

Tufikiri upya kukabili ajali za barabarani

KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Ajali za barabarani bado ni tatizo la muda mrefu, limegharimu maisha ya Watanzania wengi. Hali hiyo imesababisha kuwa na Wiki ya Usalama Barabarani, wadau wanakutana na kujadili namna ya kupunguza ama kuziondoa kabisa.  Kila mwaka Tanzania…

JWTZ kiboko

Dar es Salaam Na Aziza Nangwa Mkuu wa Majeshiya UlinziTanzania,Jenerali Venance Mabeyo, ameyataja mafanikio ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) liliyoyapata tangu lianzishwe Septemba Mosi, 1964. Mafanikio hayo ameyataja mjini hapa wiki iliyopita akitoa taarifa ya changamoto na mwelekeo…

Mnyukano Jiji, TARURA

DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeingia kwenye mvutano mkali wa kimasilahi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu ukusanyaji wa tozo za maegesho batili (wrong…

Chama ni Okwi mwingine katika soka letu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mwanasoka maaarufu nchini raia wa Zambia, Cletous Chama, ameondoka nchini miezi mitatu tu iliyopita lakini taarifa zake za kurejea nchini zinavuma kwa wingi kuliko hata kile anachokifanya akiwa uwanjani huko aliko sasa. Hali hii…