JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mangula: Rais aungwe mkono

Akemea upotoshwaji wa masuala nyeti ya kitaifa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bara, Philip Mangula, amesema ni kawaida kwa kiongozi mahiri kuanzisha au kukamilisha miradi ya maendeleo hata iliyo nje ya ilani ya uchaguzi ya chama chake kwa…

Rais Sambi amuomba Rais Samia amwokoe

#Miaka 3 sasa amefungiwa kizuizini chumbani #Anyimwa tiba, haruhusiwi kuona mkewe, watoto #Rais Azali Assoumani kichwa ngumu, awa jeuri NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Aliyekuwa Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi, amemwandikia barua Rais…

‘Happy Birthday’ JAMHURI

Jana Desemba 6, 2021 ilitimia miaka 10 tangu toleo la kwanza la Gazeti la JAMHURI lilipoingia kwenye orodha ya magazeti yanayochapishwa, kusambazwa na kuuzwa ndani na nje ya nchi yetu. Desemba 6, 2011 inabaki kuwa siku muhimu kwetu waanzilishi wa…

MIAKA 60 YA UHURU Uwekezaji, uwezeshaji muarobaini wa umaskini

Na Deodatus Balile, Naivasha, Kenya Wiki iliyopita niliandika makala nikieleza na kusifia uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwatambua wafanyabiashara kama sehemu muhimu ya jamii ya Tanzania.  Nimepata mrejesho mkubwa sana. Asanteni wasomaji wangu. Hata hivyo, kati ya mrejesho huo…

Simba mfukoni mwa Morrison

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU  Hakika Bernard Morrison ananifurahisha kutokana na mwenendo wake wa ndani na nje ya uwanja. Mchezaji huyo wa Simba ambaye ni raia wa Ghana ana vituko, analijua soka, kisha ana akili.  Sijui kama wengi tunamuelewa…

Upinzani ndani ya ‘upinzani’ hauwezi kuing’oa CCM

DODOMA Na Javius Byarushengo Chakula hata kiwe kitamu kiasi gani, kikiliwa kwa muda mrefu, tena mfululizo, hukinai na kuhitaji chakula kingine. Wali ni chakula kikuu Tanzania na kinapendwa na wengi, lakini ajabu ni kwamba wali ukiliwa mfululizo asubuhi, mchana na…