JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tunapambana na corona, tumesahau ukimwi

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Dunia imekumbwa na janga la ugonjwa wa corona (Uviko -19).Ugonjwa huu wa homa kali ya mapafu uligundulika kwa mara ya kwanza Desemba 2019 katika Jiji la Wuhan, China. Ukaanza kusambaa kwa kasi katika…

Pesa taslimu zinavyoligharimu taifa

*Sh trilioni 3 hupotea kila mwaka kupitia miamala KIBAHA Na Costantine Muganyizi Katika upande huu wa dunia ambako ni watu wachache wenye uhakika wa milo mitatu kamili kwa siku, Sh bilioni 1 ni fedha nyingi sana. Na ili ufikishe Sh…

Marekani inawezaje kuwa  kiranja wa demokrasia?

Na Nizar K. Visram Desemba 9 na 10 mwaka huu, Joe Biden, Rais wa Marekani, ameitisha mkutano wa kimataifa kuhusu demokrasia.   Alizialika nchi 110 katika mkutano wa kilele uliofanyika kwa njia ya mtandao. Licha ya wakuu wa nchi, walialikwa pia…

Mwinyi aibadili Z’bar

*Ajibu maswali magumu ya waandishi, afanya uamuzi mgumu kwa ujasiri *Afafanua uchumi wa bluu, awatoa wasiwasi wakaazi nyumba za maendeleo *Akabidhi visiwa 10 kwa wawekezaji, wanaoatamia ardhi kunyang’anywa *Asema mawaziri wanaoogopa waandishi inaashiria hawajafanya lolote Na Deodatus Balile, Zanzibar Rais…

Agizo la Rais Samia lawasha moto Bandari

*DG Eric asimamisha kazi wafanyakazi 13, orodha ya wahusika yatajwa Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wiki moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza watu waliohusika na ununuzi wa mifumo iliyoiingiza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika…

Washinikiza Sambi aachiwe

#Waandamana hadi Ubalozi wa Tanzania mjini Moroni #Ufaransa, Ulaya, Uarabuni maelfu wasaini ‘petisheni’ NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Mamia ya wananchi ndani na nje ya Muungano wa Visiwa vya Comoro wamejitokeza kushinikiza kuachiwa huru kwa aliyekuwa Rais wa Muungano…