Category: Habari Mpya
Simba wanaweza kujenga uwanja wao
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Simba wameanzisha harambee ya kujenga uwanja wao. Tayari wana kiwanja cha kufanyia mazoezi, lakini hawana kiwanja cha kuchezea mechi. Harambee iko moto mitandaoni. Mashabiki na wanachama wanachanga walichonacho katika utaratibu wa kutuma pesa uliowekwa…
Defao ‘alivyopigwa’ na wajanja
TABORA Na Moshy Kiyungi Ukimwona kwenye runinga akinengua huwezi kuamini kwamba mwanamuziki mkongwe wa DRC, Jenerali Defao, ana zaidi ya miaka 60 sasa. Defao alizaliwa Desemba 03, 1958 Kinshasa, DRC, akiitwa Mutomona Defao Lulendo. Ni mwanamuziki mwenye kipaji cha kutunga…
Nani atuondolee uhasama wa CCM, Chadema?
MOROGORO Na Mwandishi Wetu “Ni nani atakayetuondolea lile jiwe?” Swali gumu walilojiuliza wanawake watatu wa kwenye Biblia ile siku ya kwanza ya juma walipokwenda kaburini wakiwa na nia ya kumpaka mafuta Yesu (mwili wa Yesu uliokuwa umezikwa kaburini) kukamilisha taratibu…
Wazawa wawezeshwe kumiliki migodi
Wiki iliyopita Tanzania ilipiga hatua kubwa na ya kihistoria katika sekta ya madini nchini, baada ya kushuhudiwa utiaji saini wa mikataba kati ya serikali na kampuni za kimataifa. Mikataba hiyo yenye thamani ya zaidi ya Sh trilioni 1 inatarajiwa kuchochea…
Je, Krismasi ni sikukuu ya kipagani?
MWANZA Na Mwandishi Wetu Ifikapo Desemba kila mwaka huwa kuna mabishano yanaibuka kuhusu tarehe ya Sikukuu ya Krismasi ilivyopatikana. Mwaka 1743, Profesa Paul Jablonski, alihubiri kwamba Desemba 25 ilikuwa sikukuu ya kipagani lakini Kanisa Katoliki likaigeuza kuwa siku ya Krismasi…
Anayegawa mali za marehemu ni msimamizi wa mirathi, si mahakama
Na Bashir Yakub Unapokwenda kufungua shauri la mirathi mahakamani haimaanishi kuwa unakwenda kuiomba mahakama kugawa mali za marehemu. Bali unakwenda kufungua mirathi ili utambulike rasmi kimamlaka na kisheria kuwa wewe ni msimamizi wa mirathi. Mahakama haitakiwi kugawa mali za marehemu kwani mahakama…