Category: Habari Mpya
BABA GASTON Mtunzi wa ‘Kakolele’, wimbo usiochuja
TABORA Na Moshy Kiyungi Msimu wa sherehe za mwisho wa mwaka 2021 unamalizika na kama ilivyo kwa miaka mingine, zipo nyimbo kadhaa ambazo husikika zaidi nyakati hizi pekee. Mmoja miongoni mwa nyimbo hizo ni ‘Kakolele’, maarufu kama ‘Viva Krismasi’. Wimbo…
Askofu Tutu aaga dunia
JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI Mshindi wa Tuzo ya Amani, mpigania uhuru maarufu na mpinzani wa ubaguzi wa rangi, Askofu Mkuu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika Kusini, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Tutu, ambaye kwa miongo kadhaa alishiriki kikamilifu…
Wakulima India walivyobatilisha sheria kandamizi
Na Nizar K Visram Maandamano na mgomo wa wakulima zaidi ya 100,000 nchini India hatimaye umemalizika baada ya serikali kukubaliana na madai yao. Wakulima hao walipiga kambi nje ya mji mkuu wa New Delhi, wakitaka serikali ibatilishe sheria tatu ambazo…
Wawekezaji waigomea Serikali
DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Baadhi ya wamiliki wa hoteli na ‘campsites’ zilizopo mwambao wenye urefu wa takriban kilomita saba wa Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara iliyopo jijini Arusha wamegoma kuwasilisha serikalini nyaraka zinazoonyesha umiliki wa ardhi, kibali…
MKUTANO VYAMA VYA SIASA Kamati kumaliza matatizo
DODOMA Na Mwandishi Wetu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amepewa jukumu la kuunda kamati ya watu 10 kuratibu maazimio ya wadau wa siasa nchini. Amekabidhiwa jukumu hilo wiki iliyopita jijini hapa baada ya Baraza la Vyama…
Macho, masikio kwa Polepole
Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Miongoni mwa makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioitwa kujieleza mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu, jina la Humphrey Polepole limegonga vichwa vya watu wengi. Pamoja na kwamba Askofu Josephat Gwajima na Jerry…