Category: Habari Mpya
Maofisa mikopo wa benki lawamani
Na Alex Kazenga Dar es Salaam Idara za mikopo katika baadhi ya benki zilizopo nchini zinatupiwa lawama kwa kuwa na wafanyakazi wasio waaminifu wanaozitumia kutapeli mali za watu. Baadhi ya wakopaji na wadhamini akiwamo Mohammed Kipanga ambaye ni mkazi wa…
Tusiusahau 2021, tujiandae 2022
Na Deodatus Balile Mwaka 2021 unaomalizika umekuwa na matukio makubwa yasiyosahaulika katika historia ya taifa la Tanzania, jumuiya mbalimbali na familia kwa ujumla. Sitatenda haki nisipowataja watu wanne ambao wamefariki dunia bila kutarajiwa. Katika ngazi ya kitaifa, ni Rais John…
Soko la ajira jinamizi linalowatesa wahitimu
Madhumuni ya elimu ni kumkomboa mhitimu kifikra ili aweze kuyamudu na kuyatawala mazingira yanayomzunguka. Elimu pia inatoa nafasi kwa mhitimu wa ngazi fulani kukabiliana na changamoto za maisha ya kila siku. Elimu wakati wa ukoloni ilitolewa kwa matabaka makubwa ambayo…
Hivi kweli Polepole ni mwanaharakati?
DODOMA Na Javius Byarushengo Huwa sipendi kuandika maisha ya mtu binafsi, isipokuwa kama kuna ulazima na kwa masilahi ya taifa. Kwa miezi kadhaa sasa Mbunge wa Kuteuliwa, Humphrey Polepole, kwa kutumia kipindi alichokianzisha mtandaoni cha ‘Shule ya Uongozi’, amekuwa akizungumzia…
Mambo matatu mechi ya KMC, Simba
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Sikupata bahati ya kuiona mechi nzima ya ‘Mnyama’ akiwa ugenini dhidi ya Kinondoni Municipal Council kwa kifupi KMC, iliyopigwa wiki iliyopita kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora. Hii ni kwa kuwa nilikuwa…
Hali ya misitu baada ya miaka 60 ya Uhuru
Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na amani hadi kushuhudia taifa letu linaadhimisha miaka 60 tangu ‘Tanganyika’ ilipopata uhuru Desemba 9, 1961. Kadhalika, ifikapo Aprili 26, 2022 tutafikisha miaka…