JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dk. Biteko ageuka mbogo

KAHAMA Na Antony Sollo Waziri wa Madini, Dk. Dotto Biteko, ameagiza kusimamishwa kazi maofisa saba wa madini wa mikoa mbalimbali kutokana na utovu wa nidhamu. Akizungumza na wafanyabiashara wa madini wa Kanda ya Ziwa mjini hapa, Dk. Biteko amesema wapo…

Waziri Mkuu anena


RUANGWA Na Deodatus Balile Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa, amevunja ukimya dhidi ya watu wanaomsakama mitandaoni wakidai anataka kugombea urais mwaka 2025, akiwataja kuwa watu hao wana nia ya kumchafua na kuvuruga utulivu na kasi…

TAKUKURU wambambikia kesi mwandishi

*Watumia taarifa walizopewa na JAMHURI kutaka kuuzima ukweli *Kamanda wa TAKUKURU Arusha amchuuza Mhariri, amlengesha *Ashiriki ubambikiaji kesi huku mtuhumiwa akitamba kuiweka mfukoni Serikali *Naibu Mkurugenzi Mkuu bila kusikiliza asema kesi iendelee, ni jinai ARUSHA Na Mwandishi Wetu Katika hali…

CCM, mchezo wenu ni mauti yenu

Na Deodatus Balile, Ruangwa Ndugu msomaji wangu, heri ya mwaka mpya 2022. Naamini umefika salama katika mwaka huu baada ya changamoto kubwa tulizopitia mwaka 2021.  Wengi walitamani kufika mwaka huu wa 2022, lakini Mungu hakuwapa nafasi hiyo. Mimi ni muumini…

Tutaanza kumshangaa Sure Boy 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Huko nyuma tuliwahi kuvishangaa viwango vya wanasoka kadhaa wa ndani kama akina John Bocco, Aishi Manula, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe. Hawa walitushangaza au waliushangaza ulimwengu wa soka mara tu baada ya kuhamia Simba…

Amuomba msaada Rais  Samia kumuondoa  aliyevamia kiwanja chake

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, nakuomba unisaidie kupata haki yangu. Mimi naitwa Frida Kyesi, ni mama mjane wa Mzee Lutengano Mwakabuta ambaye alikuwa mstaafu. Kwa sasa naishi Pugu Kajiungeni, Ilala jijini Dar es Salaam tangu…