Category: Habari Mpya
Ndugai, Kabudi ni somo jipya Tanzania
Na Deodatus Balile Leo napata tabu kuandika makala hii. Tabu ninayoipata, kumetokea mtikisiko wa ghafla ndani ya saa 72, sura ya siasa za nchi ya Tanzania zimebadilika mno. Ninaye rafiki yangu nimekumbuka maneno yake. Alipata kuniambia: “Usichezee njiti ya kiberiti,…
Yanga Princes waitazame Simba Queens
NA MWANDISHI WETU Jumamosi ya wiki iliyopita Timu ya Yanga Princes ilicheza mechi yao ya saba dhidi ya mtani wao Simba Queens. Kilichobadilika ni idadi ya mabao waliyofungwa katika ‘derby’ zilizopita ukiachana na ile ya Desemba 12, 2020 katika Uwanja…
Spika ameondoka, hoja bado imebaki
KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Baada ya hoja ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, au kama ilivyoitwa kauli aliyoitoa wakati anazungumza na Umoja wa Wagogo (Wanyasi) kuhusu mikopo na kwenda mbali kutaja deni lilivyokua kwamba tunadaiwa Sh trilioni 70 na…
Kujiuzulu Ndugai ni ukomavu wa fikra
DAR ES SALAAM Na Javius Kaijage Januari 6, mwaka huu ni siku ambayo Job Ndugai alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa Bunge, hivyo kuandika historia mpya katika kitabu cha Tanzania. Ni historia mpya kwa maana kwamba kumbukumbu zinaonyesha kuwa…
Defao alipaswa kuwa Dar siku aliyokufa
TABORA Na Moshy Kiyungi Wiki mbili tu baada ya Gazeti la JAMHURI kuandika maisha ya mkongwe wa muziki wa Afrika na raia wa DRC, Lulendo Matumona, maarufu Le Jenerali Defao, taarifa zikasambazwa kuwa amefariki dunia. Katika toleo la gazeti hili…
Tutu alikuwa mwanaharakati wa kimataifa
Na Nizar K Visram Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Cape Town (Afrika Kusini) alipofariki dunia Desemba 26, 2021 akiwa na umri wa miaka 90, ulimwengu ulimlilia. Wengi wakakumbuka jinsi alivyokuwa mwanaharakati aliyepambana na ubaguzi wa rangi (ukaburu) nchini mwake. Wakakumbuka…