Category: Habari Mpya
TEF kuwakusanya wahariri Afrika
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Wahariri wa vyombo vya habari kutoka nchi mbalimbali barani Afrika wanatarajiwa kukutana mara mbili nchini Tanzania, ndani ya miezi miwili, JAMHURI limeelezwa. Katika matukio hayo ya kihistoria, wahariri kutoka zaidi ya mataifa 10 ya…
Kisubi aliposajiliwa aliambiwa nini?
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Kuna nyakati mtu unabaki ukicheka tu kutokana na hali inavyokwenda. Kuna golikipa mmoja amewahi kunichekesha sana. Huyu ni Jeremiah Kisubi, golikipa wa Simba aliyetolewa kwa mkopo kwenda kwa wakata miwa wa Morogoro, Mtibwa Sugar…
Msanii wa Nigeria kutangaza utalii
Dar e Salaam Na Mwandishi Wetu Msanii nyota wa filamu wa Nigeria, James Ikechukwu Esomugha, maarufu kama ‘Jim Iyke’ anatarajiwa kuwasili nchini baadaye mwezi huu kwa ziara maalumu ya kikazi. Iyke, anayetamba na filamu yake mpya iitwayo ‘Bad Comments’, akiwa…
Tujiandae kwa kumbukumbu za Nyerere, Karume
Waasisi wa taifa la Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, mwaka huu watafanyiwa kumbukumbu mbili tofauti; lakini zote zikiwa na umuhimu mkubwa. Kumbukumbu hizi zitafanyika kwa kufuatana; Aprili mwaka huu, ambapo kwa Sheikh…
Watoto wa mitaani kujengewa hosteli
ARUSHA Na Hyasinti Mchau Jiji la Arusha limo katika mkakati wa kukabiliana na tatizo la watoto wa mitaani kwa kujenga hosteli maalumu kwa ajili yao. Akizungumza wakati wa hafla ya kupokea eneo linalotarajiwa kutumika kwa ujenzi wa hosteli ‘maalumu’, Meya…
Shamte azungumzia kifo cha Karume
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Wakati taifa likijiandaa kwa kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mzee Abeid Amani Karume, mwanasiasa mkongwe, Baraka Mohamed Shamte, amesema waliopanga njama za mauaji ni vigogo wa Umma Party. Anasema…