Category: Habari Mpya
Tuchukue tahadhari za mvua zinazoendelea kunyesha
Jumamosi ya wiki iliyopita Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitoa tahadhari ya matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano. TMA ilitoa tahadhari ya mvua kubwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Jumamosi hadi kesho kwa maeneo machache…
Manungu Complex panafaa kwa ligi Morogoro
Na Mwandishi Wetu Baada ya miaka 23 kupita, juzi Jumamosi tuliwaona Simba wakiwa katikati ya mashamba ya miwa yaliyopo Turiani, wakimenyana na ‘wakata miwa’ Mtibwa Sugar katika dimba la Manungu Complex, kisha kutoka sare ya bila kufungana. Mchezo huo ulikuwa…
Thadeo, Katembo wateuliwa Kamati ya Uchaguzi SHIMIWI
DODOMA Na Mwandishi Wetu Aliyewahi kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Michezo kwenye Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Leonard Thadeo na Hakimu Mfawidhi (mstaafu) wa Mahakama ya Utete, Rufiji, Ally Katembo ni miongoni mwa wajumbe watano walioteuliwa kuunda kamati…
Majirani waomba wavamizi eneo la mjane waondolewe
Na Aziza Nangwa DAR E S SALAAM Zaidi ya wakazi 1,000 wa Kijiji cha Pugu Kinyamwezi wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia jirani yao, Frida Keysi, kuishi kwa amani baada ya eneo lake kuvamiwa mara kwa mara na watu wenye…
Mambo ya msingi yasiyozungumzwa kwenye siasa za maridhiano Afrika
KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Kumekuwa na hoja kutoka kwa wanasiasa na wadau wa siasa kuhusu kutaka maridhiano kutoka pande zote; wa upinzani na chama tawala, na hadi inaingia Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na madai hayo ya wanasiasa…
Miaka 43 ya kifo cha Mbaraka Mwinshehe
TABORA Na Moshy Kiyungi Miongoni mwa wanamuziki maarufu zaidi kuwahi kutokea nchini na kutikisa anga la muziki Afrika ni Mbaraka Mwinshehe Mwaluka. Huenda kwa sasa ameanza kusahaulika lakini ukweli ni kwamba nyimbo zake kadhaa alizotunga au kuimba miaka ya 1970…