Category: Habari Mpya
Balaa Muhimbili
*Hospitali yakumbwa na upungufu mkubwa wa damu salama, wagonjwa hatarini *Ikiomba chupa 150 kutoka Mpango wa Damu Salama, inapewa 12 kwa siku *Mkurugenzi aomba Watanzania kuacha kasumba ya kuogopa kuchangia damu *Tatizo limeanzishwa na Wizara ya Afya kuagiza wagonjwa wawekewe…
RPC apuuza amri ya mahakama
Dar es Salaam Na Alex Kazenga Kamanda wa Polisi Mkoa wa kipolisi (RPC) Ilala, Deborah Magiligimba, anadaiwa kupuuza amri ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, JAMHURI linataarifu. Inadaiwa kuwa Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imemuandikia barua RPC kumtaka…
Rais Samia, TANROADS okoa watu Dar – Morogoro
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nimesoma habari ya kuanza kwa mchakato wa ujenzi wa njia nne katika Barabara ya Morogoro. Ujenzi huu unaelezwa kuwa utaanzia Kibaha Maili Moja hadi Morogoro kwa urefu wa kilomita 158. Taarifa hizi zimetolewa na Mkuu…
Mbunge amnusuru diwani uhujumu uchumi
BUSEGA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Busega, Simon Songe, amemnusuru Diwani wa Mkula, Goodluck Nkalango, kupewa kesi ya uhujumu uchumi. Nkalango na viongozi kadhaa wa Kijiji cha Kijilishi wanadaiwa kutorosha fedha za umma takriban Sh milioni 7.8. Mkuu wa Wilaya…
Dk. Mwinyi: Uchumi wa Buluu utaboresha sheria
Dodoma Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ana matumaini kuwa iwapo dhana ya Uchumi wa Buluu itaeleweka vema kutakuwa na nafasi nzuri ya kurekebisha na kuboresha sheria na taratibu…
Mulamula: Ni muhimu Warundi kurudi kwao
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, amesema Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) wataendelea kushirikiana katika kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Burundi….