Category: Habari Mpya
RC Hapi aongezewa makali
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Huenda panga pangua ya viongozi mkoani Mara ikaanza kuchukua mkondo wake kwa kasi. Ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuutembelea mkoa huo na kubaini upungufu mwingi, ikiwamo kutelekeza miradi ya maendeleo kwa kipindi…
Dk. Mwinyi ataka mabadiliko
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesisitiza haja kwa watendaji serikalini kubadilika na kutofanya kazi kwa mazoea ili mipango iliyopangwa na serikali itekelezeke. Rais Dk. Mwinyi amesema hayo baada…
Zuio la picha maeneo haya si la haki
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alipoutangazia umma kufunguliwa kwa Daraja la Tanzanite, nikarejea kwenye kisa kilichotokea siku ya uzinduzi wa ujenzi wake. Siku ya uwekaji wa jiwe la msingi mwaka 2018, Rais John Magufuli, na Spika Job…
Huku Simba, kule waamuzi
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita niliamka na vitu viwili kichwani mwangu. Kwanza, niliamka na kitu kinachoitwa Simba; kisha nikaamka na kitu kinachoitwa waamuzi wa soka waliopo sasa nchini Tanzania. Leo ninajiuliza kati ya haya mawili tuanze na…
Ma-DED wasitenguliwe tu, wachukuliwe hatua zaidi
Februari 4, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa wakurugenzi watendaji wa halmashauri za wilaya za Buchosa, Iringa, Mbeya na Singida Mjini kwa matumizi mabaya ya fedha za miradi ya maendeleo na upotevu wa mapato katika halmashauri hizo….
MIRABAHA… Mwanzo mzuri, sanaa nyingine zifikiriwe
Dar es Salaam Na Christopher Msekena Mamia kwa maelfu ya wasanii wa muziki nchini wameufungua mwaka 2022 kwa kicheko wakipokea gawio (au mirabaha) ya kazi zao kutoka serikalini kupitia Chama cha Hakimiliki (COSOTA). Katika hafla iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar…