JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kocha ‘rastafari’ aliyeibeba Senegal

*Miaka 20 tangu akose penalti fainali dhidi ya Cameroon Dakar, Senegal Aliou Cissé anasimama na kutazama pande zote za Stade du 26 Mars, moja ya viwanja vya soka vya Bamako nchini Mali, kisha anakimbia na kupiga penalti muhimu ya tano…

Maboresho yatakavyochochea ukuaji sekta ya mawasiliano 

• Visimbuzi vyote sasa ruksa kubeba chaneli za bila kulipia • Chaneli za televisheni za kulipia ruksa kubeba matangazo  • Punguzo la ada ya leseni kuleta neema kwa watoa huduma, watumiaji Dodoma  Na Mwandishi Wetu Katika kuboresha mazingira ya utoaji…

‘Wanaobeza uchifu hawaijui Tanzania’ 

Bagamoyo Na Mwandishi Wetu  Kwa Mtanzania halisi anayebeza hadhi za machifu au watemi atakuwa mgeni au hajaisoma vizuri historia ya Tanganyika ya kale kuelekea uhuru na mchango uliotolewa na machifu katika kukijenga Chama cha ukombozi cha TANU. Kuwapuuza machifu hao…

Siku Boban alipogomea mazoezi

London Na Ezekiel Kamwaga Hapo zamani za kale, Simba iliwahi kuwa na mchezaji aliyeitwa Haruna Moshi ‘Boban’. Ni miongoni mwa wachezaji wakubwa wa Tanzania niliowahi kuwashuhudia kwenye ubora wao. Akaenda Sweden kucheza Ligi Kuu. Riziki ikaisha, akarudi Tanzania kuchezea Simba….

Tunatenda makosa ya elimu tukidhani tuko sahihi

KILIMANJARO Na Nassoro Kitunda Mara zote kumekuwapo na mjadala wa elimu hapa nchini hasa katika kupima ubora wake huku kukiwa na makundi tofauti yanayotoa maoni. Wapo wanaosema elimu yetu imeshuka na kuna haja ya kubadili mitaala na wengine wanaona kuwa…

Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (2)

Dar es Salaam Na Mwl. Paulo S. Mapunda Wiki iliyopita tuliona namna ambavyo shetani alifanikiwa kumrubuni binadamu na kuharibu mtazamo (mindset) wake. Tuendelee… Shetani akafanikiwa kumshawishi binadamu amuasi Mungu, alilitenda hilo kwa kuziharibu programu zote ambazo Mungu alizisuka na kuziweka…