Category: Habari Mpya
Waarabu walipotuonyesha walipo
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wafaransa wanatamka ‘La Norme’. Wareno wanatamka ‘Pradao’. Wahispania wanatamka ‘El standard’. Sisi Waswahili tunatamka ‘Kiwango’. Ndiyo ni kiwango! Mataifa ya Afrika Mashariki ambayo wakazi wake wengi ni wenye asili ya Kiarabu, ni mataifa makubwa…
Jane: Harmonize ni mtoto wa Mungu
Dar es Salaam Na Christopher Msekena Omoyo ni miongoni mwa kadhaa nchini ambazo tangu kuwekwa kwake hadharani hazijawahi kuchuja. Wimbo huo uliotoka zaidi ya miaka 10 iliyopita umeendelea kuwa burudani na baraka kwa mamilioni ya watu kwenye maeneo ya starehe,…
Tuunganishe nguvu kuinua utalii nchini
Kwa miaka mingi sasa sekta ya utalii nchini imekuwa ikitoa mchango mkubwa katika kuingiza pato la taifa, ambapo kabla ya dunia kukumbwa na janga la corona ilikuwa ikichangia asilimia 17.2. Mchango wa sekta ya utalii hauishii katika pato la taifa…
Kukithiri michango ya matibabu, ishara ya tatizo mfumo wa afya
Moshi Na Nassoro Kitunda Imekuwa ni kawaida sasa wananchi kuomba fedha kwa ajili ya matibabu. Afya ni huduma muhimu ambayo wananchi wanaihitaji sana. Ukipitia mitandao ya kijamii, utaona namna watu wanavyoomba kuchangiwa matibabu, na ni mamilioni ya fedha ili waweze…
Uganda yaamuriwa kuilipa DRC mabilioni
Na Nizar K Visram Mahakama ya Kimataifa (ICJ) iliyo Uholanzi imeihukumu Uganda kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) dola za Marekani milioni 325 (sawa na zaidi ya Sh bilioni 752) kama fidia kutokana na majeshi yake kuingia DRC mwaka…
Keki ya taifa inapoipindua nchi
DODOMA Na Javius Byarushengo Januari 22, 2022, jeshi la Burkina Faso lilifanya mapinduzi baridi kwa kumuondoa madarakani Roch Kabore, Rais aliyechaguliwa kidemokrasia. Kama ilivyo ada, yanapofanyika mapindiuzi, hupingwa kila kona ya dunia huku Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika…