Category: Habari Mpya
Mkakati wa siri Freemasons kuitawala dunia – (4)
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Paulo Mapunda Hapo zamani Mungu alikwisha kufunua kupitia ndoto ya Nebukadreza, Mfalme wa Babeli (The King of the Ancient Mesopotamia) iliyotafsiriwa na Daniel, Nabii (Daniel 2:44, 45) kwamba utawala wa Mungu ndio utakaosimama mwisho baada…
Ngorongoro, Loliondo sasa hakuna namna
NGORONGORO NA MWANDISHI WETU Kutokana na hali mbaya ilivyo katika Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Pori Tengefu la Loliondo (LGCA), serikali haina namna nyingine isipokuwa kuchukua uamuzi mgumu wa kuyanusuru maeneo hayo. Ndani ya wiki moja,…
Utata zaidi vijana watano kupotea
*Sasa imetimia siku 58 tangu watoweke *Wazazi wakanusha watoto wao kuuza dawa za kulevya *Polisi yasema inaendelea na uchunguzi DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Tukio la vijana watano kutoweka na kutojulikana walipo hadi sasa unaweza kusema ni kama maigizo…
Rais Samia hongera, maliza la Mbowe tugange yajayo
Na Deodatus Balile, Zanzibar Leo naandika makala hii nikiwa hapa eneo la Mlandege, Zanzibar. Nimemaliza mjadala wa kuelekea mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Mjadala huu ulihusu “Maendeleo katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.”…
Mjadala matumizi ya ‘cable cars’ kufanyika mwezi ujao
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wanatarajia kufanya mjadala wa matumizi ya magari ya umeme yanayopita kwenye nyaya (cable cars) kwa ajili ya kuwapandisha watalii katika Mlima Kilimanjaro. Kauli ya Ndumbaro…
Dk. Ndumbaro: Bila dhamana ya benki hakuna kitalu
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro, ameagiza waombaji na washindi wa mnada wa vitalu vya uwindaji wa kitalii kuhakikisha wana dhamana ya benki kabla ya kukabidhiwa vitalu. Dk. Ndumbaro ametoa maagizo hayo…