Category: Habari Mpya
Hadi sasa Makonda hajashitakiwa popote
Na Bashir Yakub Kesi iliyo mahakamani dhidi ya Makonda si mashtaka ya jinai. Kilicho mahakamani mpaka sasa ni maombi tu ya Saed Ahmed Kubenea. Wala Makonda hatafutwi kukamatwa na mahakama yoyote, wala taasisi nyingine ikiwamo Polisi. Nimeona hadi magazeti yanayoheshimika…
Ni muhimu kuelewa haya kuhusu vita ya Ukraine
Na Nizar K Visram Vyombo vya habari vya kimataifa hivi karibuni vimetawaliwa na vita ya Ukraine. Mengi yanasemwa na mengine hayasemwi. Bila shaka wengi wetu watataka kujua nini kinachoendelea na chimbuko lake. Ndiyo maana ni muhimu kujua pia kile kisichosemwa…
Urusi Vs Ukraine
*Ni pambano la ‘Daudi na Goliati’ uwanjani *Urusi ina kila kitu, makombora mazito, ndege *Marekani, Uingereza zaitosa Ukraine kijeshi *Putin aandaa matumizi ya zana za nyuklia Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Hali inazidi kuwa tete nchini Ukraine na wananchi…
Lugumi kubadili sheria ya mnada
Na Shaban Matutu, Dar es Salaam Hatua ya kukwama kuuzwa mara tatu kwa nyumba mbili za mfanyabiashara, Said Lugumi, imeifanya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufikiria kuboresha sheria ili zitoe mwongozo kwa mali zilizokosa mteja mnadani. Sababu ya kufikiria hilo…
Nimejifunza, Ukraine – Urusi taarifa zina utata
Na Deodatus Balile Tangu Urusi ianze mashambulizi dhidi ya taifa la Ukraine, nimekuwa na ufuatiliaji wa karibu wa mashirika mbalimbali ya habari ya kimataifa. Kuna jambo gumu nimejifunza. Nimekuwa nikilisikia hili nililojifunza, ila sasa nimejifunza kwa njia ngumu. Sitanii, miaka…
Bangala: Nusu mtu, nusu chuma
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu ‘Nusu mtu, nusu chuma’ ni jina la utani analoitwa mlinzi wa kati wa Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Joash Onyango, ambaye ni raia wa Kenya. Onyango amepewa jina hili kutokana na kazi…